kuna course moja wakati wa application ilikuwa na admission capacity ya watu 100 lkn cha kushangaza jana nimecheki wanasema admission capacity ni 66,siyo hiyo tu bali kuna course nyingi admision capacity imepugua pia na namba za eligible applicant zinaongezeka wandugu hii ni nini jamani au wametoa nafasi kwa ndugu na jamaa zao zilizobaki ndo wanatuachia watoto wa wakulima tugombanie
kama hujaona nenda kacheki.
Kozi gani hyo mkuu,maana me kuna moja ya sua hadi inanipa homa coz watu walio eligible na waloweka kama 1st choice wanaongezeka kila baada ya dakika tano!
Kozi gani hyo mkuu,maana me kuna moja ya sua hadi inanipa homa coz watu walio eligible na waloweka kama 1st choice wanaongezeka kila baada ya dakika tano!