Vijana hawakufindishwa vilivyo hivyo hata wakirudia watapata 000000 na tutakuwa tumepoteza muda na fedha ya walipa kodi bure!! Serikali isiwaonee aibu waliotufikisha hapa eti kwa kuunda tume; huo ni ubabaishaji kwani hiyo tume haitakuja na mapendekezo ambayo serikali haiyajui!!Kikwete acha mambo ya undugu ,fukuza huyo waziri Kawambwa na msaidizi wake halafu sikiliza matatizo ya waalimu na muyashuhulikie; ama sivyo kila mwaka mtakuwa mnarudua mitihani na kuunda tume!!