jaman vip kuhusu lile sakata la madogo kurudia mitihan yao ya necta 2012?

jaman vip kuhusu lile sakata la madogo kurudia mitihan yao ya necta 2012?

Shafiy

New Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
2
Reaction score
0
naomba kuulizia na kujuzwa juu ya jambo hili la wanafunzi wa kidato cha nne wa mwaka 2012 ambao wamepata zero
kwa kipindi cha matokeo yalivyotoka nikasikia kuna tetesi za kwamba watatakiwa kurudia mtihan..
Ni lipi tamko rasmi la waziri wa elimu...?
Naomba kujuzwa..
 
Kweli hata mm pia nilickia tu sasa cjackia tamko rasmi maana inaonekana bado kila kiongoz anayake! tatizo serikal ye2 hi
 
Bongo full uzushi! Tunashikilia nafasi ya nne kwenye orodha ya nchi zinazoamini uzushi.

Ushauri: Wenzenu wameisha-book nafasi za kurudia kama private candidate, nanyi fanya haraka maisha ni magumu huku uraiani!
 
Vijana hawakufindishwa vilivyo hivyo hata wakirudia watapata 000000 na tutakuwa tumepoteza muda na fedha ya walipa kodi bure!! Serikali isiwaonee aibu waliotufikisha hapa eti kwa kuunda tume; huo ni ubabaishaji kwani hiyo tume haitakuja na mapendekezo ambayo serikali haiyajui!!Kikwete acha mambo ya undugu ,fukuza huyo waziri Kawambwa na msaidizi wake halafu sikiliza matatizo ya waalimu na muyashuhulikie; ama sivyo kila mwaka mtakuwa mnarudua mitihani na kuunda tume!!
 
Kwani hujapata barua ya kukujulisha Kituo chako cha kurudia paper? Wasiliana na mwl mkuu wa shule yako ya awali (ulopatia zero).
 
Back
Top Bottom