carina TiMkuu hao wewe ungekuwa na gari wala wasingekusumbua, inawezekana ulikuwa unaendesha toyota..
Mkuu hao wewe ungekuwa na gari wala wasingekusumbua, inawezekana ulikuwa unaendesha toyota..
Kahama nimeona hyo misubaru inapiga kelel..!mm hapana asiee ach niwe mshamba!Mkuu hao wewe ungekuwa na gari wala wasingekusumbua, inawezekana ulikuwa unaendesha toyota..
Dah! 😂😂Walikuwa hawajapita speed inayotakiwa..
Huwa inatakiwa uki overtake gari.. Yule unayemu overtake ASIJUE AINA YA Gari! Sana sana ataambulia kuona Rangi imepita..
#WE RIDE OR DIE!
duhWalikuwa hawajapita speed inayotakiwa..
Huwa inatakiwa uki overtake gari.. Yule unayemu overtake ASIJUE AINA YA Gari! Sana sana ataambulia kuona Rangi imepita..
#WE RIDE OR DIE!
Bora wakifa wao wenyewe, mbaya ni pale wanaposababisha vifo kwa watu wengineNyinyi wamiliki wa SUBARU acheni sifa mkae mkijua mwendokasi unaua. Juzi naenda zangu Iringa kuna jamaa wanne wanaendesha subaru zinafanana aisee wanakimbia at speed of light na magari yao yanaunguruma kama Cessna inataka kupaa. Nyie jamaa mjue hizi barabara sio rafiki kama mnavyodhani mtakuja mpate ajali, mfe, tuwazike then tule makande.
Shauri zenu.