Jamani acheni misifa

Jamani acheni misifa

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Nyinyi wamiliki wa SUBARU acheni sifa mkae mkijua mwendokasi unaua. Juzi naenda zangu Iringa kuna jamaa wanne wanaendesha subaru zinafanana aisee wanakimbia at speed of light na magari yao yanaunguruma kama Cessna inataka kupaa. Nyie jamaa mjue hizi barabara sio rafiki kama mnavyodhani mtakuja mpate ajali, mfe, tuwazike then tule makande.
Shauri zenu.
 
ni kweli mkuu mimi nilikua na toyota ila wale jamaa sio wazima vichwani mwao, how comes mtu unaambiwa mikumi mbugani mchana uende not more than 70kph mchana ila wao kwa haraka haraka walikua kama kwenye 140-180kph
Mkuu hao wewe ungekuwa na gari wala wasingekusumbua, inawezekana ulikuwa unaendesha toyota..
 
Kifo hakina formula, unaweza ukawa unaendesha 10kph halafu lori likakugonga ukafa.
Kwa hiyo usishangae hao jamaa wakakuzika wewe.
 
all in all mwendokasi haufai
Kifo hakina formula, unaweza ukawa unaendesha 10kph halafu lori likakugonga ukafa.
Kwa hiyo usishangae hao jamaa wakakuzika wewe.
 
Nyinyi wamiliki wa SUBARU acheni sifa mkae mkijua mwendokasi unaua. Juzi naenda zangu Iringa kuna jamaa wanne wanaendesha subaru zinafanana aisee wanakimbia at speed of light na magari yao yanaunguruma kama Cessna inataka kupaa. Nyie jamaa mjue hizi barabara sio rafiki kama mnavyodhani mtakuja mpate ajali, mfe, tuwazike then tule makande.
Shauri zenu.
Bora wakifa wao wenyewe, mbaya ni pale wanaposababisha vifo kwa watu wengine
 
Back
Top Bottom