Jamani aliyegundua mziki anastahili Tuzo hasa ule wa zilipendwa enzi zetu, sijajua huu wa Sasa kama unaladha Kama zilipendwa

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Jamaani enzi zile watu naona tuliinjoy Sana ukilinganisha na mziki wa kizazi kipya. Mfano Leo nilikuwa nimekaa sehemu nakuta DJ ameweka mziki wa bendi ya Sasa Kamanyola wakiwa na Maestro King kikki wimbo unaitwa tutoke wore duuu nimekumbuka mbali Sana nikiwa Kijiji cha mbwewe Handeni Tanga.

Kulikuwa mzee mmoja akiwa santul player changer yaani duu tulifaidi Sana kuliko matusi. Sijui nyie wa kizazi Cha Sasa Kama mnafaidi kiiiruuuuuuuuuu.
 
Mziki wa siku hizi ni ushetani tu kuhamasisha ngono, mapenzi kinyume na maumbile, pombe na uchafu wa kila aina.
Yaani kama amapiano na singeli ndio kabisaa hovyo.
Eti "masela nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo" mara sijui nitamwendea kwa mpalange[emoji57][emoji57].
Mimi sitaki kuzipiga hata nyumbani kwangu.
 
Bongo flavor
Amapiano
Singeli
Ndyo habari ya mjini nyie Zilipendwa kaeni barazani vijiwe vya kahawa na minguo yenu mikubwa mipana kama pepe kale
 
Yaani kama amapiano na singeli ndio kabisaa hovyo.
Eti "masela nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo" mara sijui nitamwendea kwa mpalange[emoji57][emoji57].
Mimi sitaki kuzipiga hata nyumbani kwangu.
Ona sasa mambo yao. Kweli ukishabikia ujinga huo lazima uonekane mwehu
 
Wolfgang Amadeus Mozart amezipokea shujrani zako kwa dhati kabisa🙏
 
Yaani kama amapiano na singeli ndio kabisaa hovyo.
Eti "masela nikirudiana na ex wangu nampakia mkongo" mara sijui nitamwendea kwa mpalange[emoji57][emoji57].
Mimi sitaki kuzipiga hata nyumbani kwangu.
Hahahaaaa.. Hii singeli enzi zetu ilikuwa ikiitwa chakacha na baadae wakawa wanaita mnanda... Kwanza ilikuwa ngoma ya wahuni na wakija kupiga mtaani tegemea kuibiwa ile mbaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…