Jamani am back.....kabinti kangu!!!

Jamani am back.....kabinti kangu!!!

Hongera sana ...... naomba kuukata ule uzi.
 
Cöngrats!!! wish the baby good health and enjoy life you +you're husband
 
Hongera sana She's beautiful baby girl.
attachment.php
hongera shishi. lkn mbn mtoto anafanana na baba mwenye nyumba y jirani?!!!
 
Hongera Shishi kwa kulea,
welcome Back Bandugu....
 
Mbona unakasifia sana hako kabinti kako? Anyway, beauty is subjective

Asipomsifia nani tena amsifie? hata mimi kabinti kangu kazuri sana lol
Hongera mamito inaleta raha kuwa mama
 
Missed you Shishi!
Hellow to ya beautiful little one!! Xxx

Hey Steve Dii..yaani acha tu mie pia nimekumiss sana....malezi kakangu..sio mchezo kumbe! kabinti salamu kamezipokea na tabasamu kubwa kama ya mamake!
 
Shishi, what a beautiful baby. MashAllah.

Usimlee ki cdm, kususasusa, lol.
 
Back
Top Bottom