kama humjui nyamazaNdo nani?
Wakuu ningependa kuuliza ,hivi huyu Arnold Kayanda mbona cku hizi simsikii kwenye JAHAZI ,kulikoni....?
kama humjui nyamaza
ni mtangazaji wa clouds fm wengine huita wafu fm au radio ya watu.Ndo nani?
Yupo SUA anapiga kitabu huwa namuelewa sana kajipima kaona bora akasome kuliko kukaa na mtu kama kibonde mmbea tu
Hakuwa na Elimu ya kutosha....? Duh !
Anasoma kozi gani?Yupo SUA anapiga kitabu huwa namuelewa sana kajipima kaona bora akasome kuliko kukaa na mtu kama kibonde mmbea tu
Anorld ni moja wa bwabwa wa Clouds Wafu