Jamani anorld kayanda.......

Jamani anorld kayanda.......

kau

Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
80
Reaction score
16
Wakuu ningependa kuuliza ,hivi huyu Arnold Kayanda mbona cku hizi simsikii kwenye JAHAZI ,kulikoni....?
 
Huyu ndo nani katika nchi hii?
ana mchango wowote kwa maendeleo ya hii nchi?
 
Yupo SUA anapiga kitabu huwa namuelewa sana kajipima kaona bora akasome kuliko kukaa na mtu kama kibonde mmbea tu
 
Mnakaa kuongelea maisha ya watu tu hapa ........swali limeulizwa yuko wapi kama unajua sema kama hujui uliza uambiwe sasa mnakua kama wabunge wenu dodoma
 
Back
Top Bottom