Jamani asanteni kwa ushauri πŸ™πŸ™

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes.
Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto .

ILa dstv ni hera yako tu ufurahie mipira , series za njee , za afrika na zauarabuni yaani dstv unapata kila kitu duniani .

Meaning DSTV ni inaonyesha dunia nzima hadi burudani .
 

Kwhyo ww huwa unfanya vtu ili wakuone majirani mkuu???
Na hii ndy inawafnya wadada wng wapende iphone unamulza unaipndea nn anasema tu awwe nayo hata iphone 7 ksa tu jina lile na like epo lililomegwa wamuone watu

UKIKUA UTAACHA
 
Embu acha ushamba wewe dogo. Matumizi ya Ving'amuzi ni preferences au mazoea na sio luxury. Sababu even with a simple logic mtu mwenye uwezo wa kununua AzamTV au Startimes hatoshindwa kununua hao waSouth Africa DSTV.

Watu tuna Startimes tangu 2009 na AzamTv kipindi inatoka, hivyo king'amuzi kinageuka kama an old friend. Mimi ninavyo vyote vitatu na sioni tofauti yoyote.

Off your little high horse. Alright?!
 
Chukua Na Tv yake u enjy😐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…