Jamani asanteni kwa ushauri 🙏🙏

Jamani asanteni kwa ushauri 🙏🙏

Pele limepata mkunaji hahah, kama vile mgumba kapata mimba mji mzima mate tu ila wanawake bana ni wa kuchojolea tu
 
Huku mmenishauri nitumie dish la DSTV, kwakweli mwana kafurahia sana nasi tumefurahia . Inavipindi vya kidhungu dhungu, unajiona wewe ni wewe tu kati ya majirani wenye azam na startimes.
Startimes ni kama simu za techno au itel , na azam kama infinix , na vitu visivyo na mvuto .

ILa dstv ni hera yako tu ufurahie mipira , series za njee , za afrika na zauarabuni yaani dstv unapata kila kitu duniani .

Meaning DSTV ni inaonyesha dunia nzima hadi burudani .
Hello baby candy tupe na kionjo Cha TV iliyopo ukutani ni inch ngapi na brand ipi tukupongeze kibabe
 
Back
Top Bottom