Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali
Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke yake barabara nzima, anaendesha very very slow yaani mpaka trafiki akamkimbilia na kumkalipia "wewe vipi endesha ondoa gari hapo". Na ndipo hapohapo nikajiuliza maswali mengi kuhusu wabongo tulivyo very very very slow almost kwenye kila kitu
Kwenye kutembea tuko very very slow, tunatembea goigoi kama wagonjwa, ebu angalia watu wakiwa barabarani au mitaani. Kwenye kula tunakula very very slow, utakuta mtu kula tu anachukua saa moja na nusu, very very slow.
Kwenye kufikiri , tunafikiri very very slow, yaani hapa utafikiri ndipo tulipozikiwa, yaani tuko very very slow, sijui ndio uswahili wetu, yaani kitu kidogo tu kinachukua mwaka kufanya maamuzi, very very slow. Sasa ukija kwenye kuongea na kujenga hoja, yaani very very slow, tena ikiwa kwa lugha ya kiingereza, yaani utakuwa umeua kabisa, kwani jamaa atatoa tafsiri ya kilugha, kwenda kiswahili then kiingereza, wakati masomo yote tumejifunza kwa kiingereza kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu
Sasa nisije kuharibu wakati wa kufanya kazi yeyote ile, utamchukia Mbongo, yaani kitu cha nusu saa kitafanywa masaa, very very slow, mikono goigoi, mwili goigoi. Basi chelewa kumaliza lakini product iwe safiiii, yaani hapo ndipo utamkimbia mbongo, anachukua masaaa yote na quality ya product mbaya mbaya kabisa.
Ebu tujifunze kwa wenzetu, veryvery sharp, angalia tembea yao barabarani, wako faster kama wanakimbia,angalia wachina,wajapani, huko kwao , cheki kazini walivyosharp, checki kwenye kuongea na kusolve issues, not only quick but sharp, kwenye uendeshaji barabarani , ni faster, kazikazi mbiombio
Mimi nafikiri uzubafu wetu na uslow wetu umesababishwa na uwezo wetu wa akili kuwa slow as a result kila kitu chetu kinakuwa slow hilo ni wazo langu tu. Na kulitatua tuanza kwa kucharge brains zetu, tuzichachamue kwanza kuanzia kwenye curriculum zetu , masomo kwa vitendo na kuhimiza culture ya kuwa faster na umuhimu wa quality works n.k. Angalizo inawezekana sio wote ila asilimia kubwa tuko hivyo. Je wewe una maoni gani kuhusu uslow wetu.