Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

Imetuambia ukweli kabisa, we're very very slow...and very good for almost nothing. Ukweli mtupu.
 
Kweli kabisa, Kuna watu hawapendi kuwambiwa ukweli. Na hili ndilo tatizo la watanzania.Kumbuka huwezi kubadilika kama husipokubali mapungufu yako.
 
We mwenyewe uko slow, jambo la kueleza aya mbili unaanza ngonjera "mtanisamehe mtanisamehe" mara " very very" what the f c?
Mh hivi unajua slow maana yake nini, ulichoongea na uslow havimatch kabisa. Kuna slow na fast na kuna short na long. Hapo ndipo narudia tena wabongo wengi hatujui kujenga hoja kabisa. Sasa ona ulichoongea pumba tupu.tunaongea slow kwenye motion wewe unalinganisha na short au long kwenye kiasi cha andiko. Hapo ndipo uwezo wetu walio wengi umeishia halafu tunataka kujilinganisha na wenzetu. Pathetic
 
Mi niko logically we uko physically, akili ndogo.
badala ya kutumia dk mbili kuweka huja fupi unatumia dk 15, wastage of time, (slow)
Badala ya kutumia 2 min kusoma hoja, inabidi utumie 15, wastage of time (sh!+).

Next time be logical
 
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali

Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke yake barabara nzima, anaendesha very very slow yaani mpaka trafiki akamkimbilia na kumkalipia "wewe vipi endesha ondoa gari hapo". Na ndipo hapohapo nikajiuliza maswali mengi kuhusu wabongo tulivyo very very very slow almost kwenye kila kitu

Kwenye kutembea tuko very very slow, tunatembea goigoi kama wagonjwa, ebu angalia watu wakiwa barabarani au mitaani. Kwenye kula tunakula very very slow, utakuta mtu kula tu anachukua saa moja na nusu, very very slow.

Kwenye kufikiri , tunafikiri very very slow, yaani hapa utafikiri ndipo tulipozikiwa, yaani tuko very very slow, sijui ndio uswahili wetu, yaani kitu kidogo tu kinachukua mwaka kufanya maamuzi, very very slow. Sasa ukija kwenye kuongea na kujenga hoja, yaani very very slow, tena ikiwa kwa lugha ya kiingereza, yaani utakuwa umeua kabisa, kwani jamaa atatoa tafsiri ya kilugha, kwenda kiswahili then kiingereza, wakati masomo yote tumejifunza kwa kiingereza kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu

Sasa nisije kuharibu wakati wa kufanya kazi yeyote ile, utamchukia Mbongo, yaani kitu cha nusu saa kitafanywa masaa, very very slow, mikono goigoi, mwili goigoi. Basi chelewa kumaliza lakini product iwe safiiii, yaani hapo ndipo utamkimbia mbongo, anachukua masaaa yote na quality ya product mbaya mbaya kabisa.

Ebu tujifunze kwa wenzetu, veryvery sharp, angalia tembea yao barabarani, wako faster kama wanakimbia,angalia wachina,wajapani, huko kwao , cheki kazini walivyosharp, checki kwenye kuongea na kusolve issues, not only quick but sharp, kwenye uendeshaji barabarani , ni faster, kazikazi mbiombio

Mimi nafikiri uzubafu wetu na uslow wetu umesababishwa na uwezo wetu wa akili kuwa slow as a result kila kitu chetu kinakuwa slow hilo ni wazo langu tu. Na kulitatua tuanza kwa kucharge brains zetu, tuzichachamue kwanza kuanzia kwenye curriculum zetu , masomo kwa vitendo na kuhimiza culture ya kuwa faster na umuhimu wa quality works n.k. Angalizo inawezekana sio wote ila asilimia kubwa tuko hivyo. Je wewe una maoni gani kuhusu uslow wetu.
Wanaobisha waende ofisi za serikali, mashirika ya umma na taasisi!
Waweza fikiria uko HOSPITALINI!
Bado njiani kutembea nk nk!
Wacha tuwe maskini tu!
 
Mi niko logically we uko physically, akili ndogo.
badala ya kutumia dk mbili kuweka huja fupi unatumia dk 15, wastage of time, (slow)
Badala ya kutumia 2 min kusoma hoja, inabidi utumie 15, wastage of time (sh!+).

Next time be logical
Inaonekana bado hujaelewa kosa lako. kuweka hoja ndefu sio slow hata kidogo. Hakunaga kitu wastage of time.Umesoma andiko lote kwa sababu limeandikwa kiutaalamu na lina mashiko la sivyo si ungeishia paragraph ya kwanza tu. Kwani umelazimishwa. Suala la next time be logical pia nafikiri unavyoaurgue wewe ndiye husiye logical. Sioni huusiano wa andiko refu na slowness. Ungeniambia it take time to read hapo sawa lakini ukiniambia niko slow kwa kuandika andiko refu hapo unakosa logic.Logic ingekuwa next time try to write a summary au summarize your main content into one paragraph,it will save our reading time, hapo ndipo ungekuwa logic. mimi nakushauri husisome maadniko yangu basi, maisha yaendelee , either I am logic or not it is non of your business OK. Nimegundua humu kuna watu wao ni kuattack wengine tena hata sehemu hisiyohusika. Jaribu kurudia maandiko yako humu halafu ulinganishe na maandiko yangu ndipo utagundua we are at different level.
 
Kifunze kwanza kuandika , uandike kwa aya, unaandika mataptap hayajapangika
 
Mtoa mada sio katika kila kitu tupo slow.
Kuta za nyumba zinajua mengi.
Mana kamchezo kale wabongo wapo vizuri
 
Ahaaaaaaaaaa, do nilikuwa sijui ila niliskwishaambiwa furaha iliyopo ya masikini ni kale ka mchezo ndio maana suala la uzazi wa mpongo tupilia huko
 
Kifunze kwanza kuandika , uandike kwa aya, unaandika mataptap hayajapangika
Sawa mkuu pitia mada zangu zote ndipo utoe comment yako hiyo. Husitoe comment kwa kutumia variable moja kuconclude complex independent factor. Pitia variable nyingi ndipo uconclude. Kosa lako hujarudi hata nyuma kuangalia hii mada imeandikwa vipi,OK forget about maandiko yangu mengine mengi. umetumia comment moja kuconclude. Hapo ndipo nasema kwa kweli Bongo uwezo wa kuargue ni mdogo sana.

Hivi unaweza linganisha uandishi wangu na wako. Print mada zako na zangu halafu linganisha si tu kwa mpangilio wa paragraph, angalia depth of content, angalia flow of logic , angalia alignment of contents with paragraph, angalia introduction and concluding remarks .Ukiona umenizidi njoo hapa na ushahidi nitanyoosha mikono.
 
Husitoe ndo nini? We unashida upstair, maneno mengi hoja chache
 
Aksante mkuu nashukuru, ila wachangiaji wamekuprove wrong kwani si unaona wanavyokubaliana na hoja na kutoa mifano mingi kusupport. Ila nafahamu kwenye msafara wa mamba kenge hakosekani kwa hiyo poa bro, maisha yanaendelea.
 
Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali

Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke yake barabara nzima, anaendesha very very slow yaani mpaka trafiki akamkimbilia na kumkalipia "wewe vipi endesha ondoa gari hapo". Na ndipo hapohapo nikajiuliza maswali mengi kuhusu wabongo tulivyo very very very slow almost kwenye kila kitu

Kwenye kutembea tuko very very slow, tunatembea goigoi kama wagonjwa, ebu angalia watu wakiwa barabarani au mitaani. Kwenye kula tunakula very very slow, utakuta mtu kula tu anachukua saa moja na nusu, very very slow.

Kwenye kufikiri , tunafikiri very very slow, yaani hapa utafikiri ndipo tulipozikiwa, yaani tuko very very slow, sijui ndio uswahili wetu, yaani kitu kidogo tu kinachukua mwaka kufanya maamuzi, very very slow. Sasa ukija kwenye kuongea na kujenga hoja, yaani very very slow, tena ikiwa kwa lugha ya kiingereza, yaani utakuwa umeua kabisa, kwani jamaa atatoa tafsiri ya kilugha, kwenda kiswahili then kiingereza, wakati masomo yote tumejifunza kwa kiingereza kuanzia sekondari mpaka chuo kikuu

Sasa nisije kuharibu wakati wa kufanya kazi yeyote ile, utamchukia Mbongo, yaani kitu cha nusu saa kitafanywa masaa, very very slow, mikono goigoi, mwili goigoi. Basi chelewa kumaliza lakini product iwe safiiii, yaani hapo ndipo utamkimbia mbongo, anachukua masaaa yote na quality ya product mbaya mbaya kabisa.

Ebu tujifunze kwa wenzetu, veryvery sharp, angalia tembea yao barabarani, wako faster kama wanakimbia,angalia wachina,wajapani, huko kwao , cheki kazini walivyosharp, checki kwenye kuongea na kusolve issues, not only quick but sharp, kwenye uendeshaji barabarani , ni faster, kazikazi mbiombio

Mimi nafikiri uzubafu wetu na uslow wetu umesababishwa na uwezo wetu wa akili kuwa slow as a result kila kitu chetu kinakuwa slow hilo ni wazo langu tu. Na kulitatua tuanza kwa kucharge brains zetu, tuzichachamue kwanza kuanzia kwenye curriculum zetu , masomo kwa vitendo na kuhimiza culture ya kuwa faster na umuhimu wa quality works n.k. Angalizo inawezekana sio wote ila asilimia kubwa tuko hivyo. Je wewe una maoni gani kuhusu uslow wetu.
Unahitaji msaada wa kufikiri kidogo. Huenda hujatembea sana. Sababu kubwa ya mzungu hasa wa Ulaya kutembea harakaharaka ni sehemu ya kuipsha mwili joto kutokana na baridi kali. Sasa Dar unatembea harakaharaka ili iweje? Unataka uoge mwili mzima jasho?

Pili kila watu wana utamaduni wao. Mengine si yetu. Waafrika tunefundishwa namna nzuri ya kukishughulikia chakula na tumeambiwa tusike harakaharaka kwasababu kipo kingi.....no fixed time for eating.
Nk,nk

Tatu kama
 
Back
Top Bottom