Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

Umeambiwa mlikuwa mnasubir taa ziwake na zimewaka, trafiki yuko pembeni karuhusu na yeye kwa mkono, wewe umezubaa na wewe pia ndio haohao, kwa hiyo mpaka trafiki kumkemea jamaa unafikiri alikuwa mjinga. Yes defensive driving sio kuendesha taratibu tu kama hujui, unaweza kuendesha taratibu na pia husiwe defensive. Kwa hiyo tusikalili. Bottom line tuache kuwa slow unnecessarily maisha yako mbiombio.
 
Uko very slow mkuu. U-slow wako usiwaambukize wenzio.
 
We mwenyewe uko slow, jambo la kueleza aya mbili unaanza ngonjera "mtanisamehe mtanisamehe" mara " very very" what the f c?
Sawa sawa niko slow ndio maana nikasema watanzania tuko slow, including wewe ambaye hujui busara ya uhandishi, kwani kusema mtanisamehe ina huhusani upi na kuwa slow. Hiyo ni art ya uhandishi ambayo kila mtu anayakwake. Wewe soma hoja ya msingi
 
Mkuu nitaruka hivyo vipengele vya barabarani na blah blah nyingine.

Unapoongelea kwenye kazi je upo field gani na umefanya comparison gani kati ya watanzania na mataifa mengine ambayo upo na experience?
Wewe si ni Mhandisi, ebu wapatie mafundi kazi ndogo tu ya ujenzi au uhashi, halafu uone wanavyofanya kazi kwa muda muhafa, halafu uone quality ya kazi zao. Yaani kwa ujumla tubadilike, ingawa si wote ila asilimia kubwa tuko slow
 
Umesahau pia tupo fasta pia kwenye kutoa sadaka ya kuvunja madhabahu, na pia ata kwenye huo uzinzi huwa tunakojoa fasta.
 
Hii mada ipo rellevant kabisa kabisa ukitaka kuamini nenda kigamboni wakati watu wanapanda na kushuka kwenye pantoni...ni ugoi goi wa hali ya juu na wengi sio hata watu wazima ni wanafunzi wa IFM na vyuo vingine hapo mjini na waajiriwa mbali mbali ambao bado wana nguvu.

Njoo Dodoma uone madereva wanavyoendesha gari kwa kuyakongoja ....speed ni 20, 30 au 40 ikizidi.

Nenda kwenye migahawa Dar, Dodoma, Mwanza, Mbeya, n.k uone itakavyochukuwa masaa mengi kuhudumiwa.

NO HURRY IN AFRICA.
 
Sawa sawa niko slow ndio maana nikasema watanzania tuko slow, including wewe ambaye hujui busara ya uhandishi, kwani kusema mtanisamehe ina huhusani upi na kuwa slow. Hiyo ni art ya uhandishi ambayo kila mtu anayakwake. Wewe soma hoja ya msingi
Tafuta arts nyingine hakuna arts umefanya hapo, unachofanya ni muendelezo wa ujinga
 
Trafiki ni mabingwa wa kusababisha majanga ili wapate ulaji. Refer ajali ya juzi pale Bamaga, siku zote ata kama trafiki anakuelekeza tumia akili yako kuamua, likitokea lakutoea trafiki atakukana Tu no matter what
 
Hii imenikumbusha, Nikiwa nasafiri mikoa mbalimbali Una kuta mtu kasi mama stendi anasubiri bus akipanda tu kwenye gali anafungua kioo anamwita machinga ampe soda au maji wakati muda wote alikuwa pale stendi ame simama tu.
 
Yaani umetoa mfano mzuri kabisa, hapo ferry nilikuwa naenda Zanzibar , mpaka nikwa napigana na abilia. Wako very very slow, nilipofika ZANZIBAR mpaka nawapiga vikombe ili nipite. Hili ni janga la kitaifa ingawa wengi tutapinga
 
Tafuta arts nyingine hakuna arts umefanya hapo, unachofanya ni muendelezo wa ujinga
Hivi humu ndani kuna wengine tuna matatizo ya akili. Huyu jamaa mbona ananiandama with personal attack wakati mimi naongelea maisha ya ujumla ya watu na ishu zetu. Moderators please mnilinde. Hili JUKWAA LIKO WAZI SIO LAZIMA UKUBALIANE NA MTOA HOJA. Weka hoja yako pinzani mezani then wasomaji wataamua. Sioni sababu ya kutukana mtoa hoja. Please be matured
 
Wewe kumbe hujui africa ilivyo wabongo hawapo slow ni wastani.. nenda botswana au kwa wazulu huko au Mozambique then rudi hapa ndio utajua kuna makono kono kabisa..
 
Pia si lazima ukubaliane na hoja zangu, kama ulichofanya unaona ni arts, go ahead with it, unalia lia nini? Mtoto wa kiume unomba huruma ya moderator, au ndo iyo arts ulioigundua?
 
Pia si lazima ukubaliane na hoja zangu, kama ulichofanya unaona ni arts, go ahead with it, unalia lia nini? Mtoto wa kiume unomba huruma ya moderator, au ndo iyo arts ulioigundua?
Sawasawa mkuu umeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…