Jamani avatar ya cheusimangala!!!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Kiukwel mi sijaoa, na nikicheki hii avatar napigwa butwaa, mwili mzima ni kama umekufa ganzi,
kacheki utakachokiona niletee.
 
Unamtaka yeye au avetari?
UkimPM anasemaje...anaelekeaelekea?
 
Me like this, walau najua sasa Sharo anachanganywa na design ipi....
 
Reactions: BAK
Mwombe akupe uihamishie chumbani kwako....
 
ile avata INATUKOSHA WENGI, Mi nilikuwa naumia ndani kwa ndani (rohoni). Cheusi Mangara unatukosha!
 
Mh midume bana maudenda yashawatoka
 
Mh midume bana maudenda yashawatoka

Nakwambia mpaka cheusimangala Avatar itoke akilini mwa sharo kazi ipo.... atleast yuko honest but vitu vingine inabidi kumezea i think.
 
Me like this, walau najua sasa Sharo anachanganywa na design ipi....

Hayuko pekee yake Asha anayependa design zile maana mjadala wa kumuomba Cheusi ulikuwa mrefu sanaaaa na njemba nyingi zilishiriki na hatimaye kuweza kumshawishi Cheusi kutoiondoa.
 
Hayuko pekee yake Asha anayependa design zile maana mjadala wa kumuomba Cheusi ulikuwa mrefu sanaaaa na njemba nyingi zilishiriki na hatimaye kuweza kumshawishi Cheusi kutoiondoa.


Unajua Bak siwezi walaumu saana wakaka, leo Cheusimangala ana thread ambayo kuna issue inamsumbua, basi nilipochangia nilishindwa kabisa kutogusia kuwa yeye anaonekana mrembo... mimi ni mwanamke mwenzie but na imagine kua that is exactly the way she is... sasa na hizi weakness kwa upande wa kaka zetu....dah!... naona tu niwaonee huruma....lol
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…