Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Kiukwel mi sijaoa, na nikicheki hii avatar napigwa butwaa, mwili mzima ni kama umekufa ganzi,
kacheki utakachokiona niletee.
kacheki utakachokiona niletee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukwel mi sijaoa, na nikicheki hii avatar napigwa butwaa, mwili mzima ni kama umekufa ganzi,
kacheki utakachokiona niletee.
Kuna wakati alitaka kuiondoa, ilikuwa kasheshe hapa ukumbini kwa njemba nyingi kupinga kuondolewa kwa avatar ile hadi Cheusi akasalimu amri na kuamua kuiacha.
YouTube - ‪Fefe Dobson - Can't Breathe‬‏
Mwombe akupe uihamishie chumbani kwako....
Si uchukue jumla kuliko miudenda kukutoka tu, huwezi jua labda yuko singleJamani lizzy, nihamishe avatar au nimhamishe yeye?
Mh midume bana maudenda yashawatoka
Nakwambia mpaka cheusimangala Avatar itoke akilini mwa sharo kazi ipo.... atleast yuko honest but vitu vingine inabidi kumezea i think.
Me like this, walau najua sasa Sharo anachanganywa na design ipi....
Hayuko pekee yake Asha anayependa design zile maana mjadala wa kumuomba Cheusi ulikuwa mrefu sanaaaa na njemba nyingi zilishiriki na hatimaye kuweza kumshawishi Cheusi kutoiondoa.
ule mgongo matata sana.. kama rijali shurti ushtuke japo kidogo
kweli aisee,kumbe hicho ndo kipimo cha urijali? hata mie rjali basi....l.o.l.....nenda kalale kesho shule.....:dance::dance:
Cheusi kwa faida ya MMU rudisha ile signature yetu kwa muda.Kiukwel mi sijaoa, na nikicheki hii avatar napigwa butwaa, mwili mzima ni kama umekufa ganzi,
kacheki utakachokiona niletee.
We umetamani avatar na sio mtu....sasa kwanini upewe mtu?!Jamani lizzy, nihamishe avatar au nimhamishe yeye?