Komaa mpe Dereva mkataba na salary halafu mwambie faini zinahusiana na makosa uendeshaji ni yeye Ila faini zinahusiana na ubovu wa gari utalipa wewe..kaka asante kwa ushauri mzuri, ila ninafanya kazi ya ualimu wa sekondari, labda nipange ratiba yangu upya
Naunga mkono 100%. weka urafiki nao nje ya kazi, lakini kwenye Kami lazima glaze kulingana na makubaliano. Mimi niliwanunulia viwanja jambalaya taratibu, hii inamfanya dereva one ni part and parcel ya business, mara zote wanajiona wana deni kwa kuwa pia unajali maendeleo yao. Traffic case inayohusisha gari, mfn refractor, nk. hyo inamhusu tajiri, lakini zenye nature ya uzembe, mfn kuvaa suit, kukatisha route nk. analogous mwenyewe, hata hajisumbui kupiga simu. Mmoja alipigwa faini ya kupakia nje ya kituo, Ana wk anazunguka nayo mfukoni.Biashara hii yahitaji usimamizi mkubwa sana,kwanza kuwa na mkataba na Dereva means pia mwisho wa mwezi atakuwa na mshahara,mwache awe huru mwenyewe kutafuta konda wake ila wewe utadili na yeye tu,nunua vitu vyako kwaajili ya service na chagua siku maalum ya kufanya service,mfano mi hufanya Service jumapili ,hakuna gari yyt kufanya kazi jumapili ni siku ya service na yupo fundi maalum,service ndogo anahusika dereva,service kubwa zinakuhusu tajiri. Dereva kabla ya jumapili atakwambia kesho yake anaservice gani na gani,ataleta hesabu mliyokubaliana kwa siku mi hiyo siku ya service ndo huleta hesabu ya wiki nzima yaani siku 6. Kuwa na mkataba wa kutokuendesha nje ya root na iwapo atafanya hivyo kazi hana na litakalomkuta atawajibika,so means makosa yote ya kizembe ya barabarani sijui traffic kafanyaje anahusika yeye,labda itokee imekamatwa mfano bodi imechakaa,au viti vimeharibika na aliniambia sikutake action hapo nitawajibika mimi. Kuwa na muda maalumu wa kupaki gari,kama kupaki gari ni saa mbili usiku iwe hivyo siku zote labda itokee ana tenda maalum.
Mkataba wa kazi ndo kiongozi wako,itakuongoza wewe,itamuongoza dereva itamfanya kuwa mwaminifu kwa kazi yake na kuipenda na ataipenda gari,kuwa mtu mwenye msimamo na serious haswaa hasa kwenye swala la pesa na uzembe. Lakini pia kuwa friend kwao siku moja moja cheer up with them wanapofanya vizuri mpe bonas hata buku 10 sikiliza matatizo yao,solve them. Utaishi vyema sana yaani mimi nina madereva wengine huu ni mwaka 6 hata sijabadilisha na ninapoongeza gari wao wenyewe wanakuwa wa kwanza kunitafutia faithfully person,hesabu yangu kwa mwezi kama kawaida ile ile expected na Mungu akibarikia uharibifu mkubwa hujatokea kwenye gari basi ni bam bam. Kikubwa magari yanatakiwa uyapende uyafanyie service za ukweli usiwe mbahili utainjoi sana,mambo ya kubadilisha oil ziwe kama ilivyopangwa kwa kilometre zile zile,penda kunotis utofauti wowote unaouona kwenye gari jua umetokea kwasababu gani siyo unaona tatizo unalifumbia macho,na kama dereva yeye aliona anasikia kila siku hakusema atakuwa responsible kwa uzembe huo. Usikate tamaa pambana utatoka ni biashara nzuri hutajuta.
Gari zako zinapiga route za wapiBiashara hii yahitaji usimamizi mkubwa sana,kwanza kuwa na mkataba na Dereva means pia mwisho wa mwezi atakuwa na mshahara,mwache awe huru mwenyewe kutafuta konda wake ila wewe utadili na yeye tu,nunua vitu vyako kwaajili ya service na chagua siku maalum ya kufanya service,mfano mi hufanya Service jumapili ,hakuna gari yyt kufanya kazi jumapili ni siku ya service na yupo fundi maalum,service ndogo anahusika dereva,service kubwa zinakuhusu tajiri. Dereva kabla ya jumapili atakwambia kesho yake anaservice gani na gani,ataleta hesabu mliyokubaliana kwa siku mi hiyo siku ya service ndo huleta hesabu ya wiki nzima yaani siku 6. Kuwa na mkataba wa kutokuendesha nje ya root na iwapo atafanya hivyo kazi hana na litakalomkuta atawajibika,so means makosa yote ya kizembe ya barabarani sijui traffic kafanyaje anahusika yeye,labda itokee imekamatwa mfano bodi imechakaa,au viti vimeharibika na aliniambia sikutake action hapo nitawajibika mimi. Kuwa na muda maalumu wa kupaki gari,kama kupaki gari ni saa mbili usiku iwe hivyo siku zote labda itokee ana tenda maalum.
Mkataba wa kazi ndo kiongozi wako,itakuongoza wewe,itamuongoza dereva itamfanya kuwa mwaminifu kwa kazi yake na kuipenda na ataipenda gari,kuwa mtu mwenye msimamo na serious haswaa hasa kwenye swala la pesa na uzembe. Lakini pia kuwa friend kwao siku moja moja cheer up with them wanapofanya vizuri mpe bonas hata buku 10 sikiliza matatizo yao,solve them. Utaishi vyema sana yaani mimi nina madereva wengine huu ni mwaka 6 hata sijabadilisha na ninapoongeza gari wao wenyewe wanakuwa wa kwanza kunitafutia faithfully person,hesabu yangu kwa mwezi kama kawaida ile ile expected na Mungu akibarikia uharibifu mkubwa hujatokea kwenye gari basi ni bam bam. Kikubwa magari yanatakiwa uyapende uyafanyie service za ukweli usiwe mbahili utainjoi sana,mambo ya kubadilisha oil ziwe kama ilivyopangwa kwa kilometre zile zile,penda kunotis utofauti wowote unaouona kwenye gari jua umetokea kwasababu gani siyo unaona tatizo unalifumbia macho,na kama dereva yeye aliona anasikia kila siku hakusema atakuwa responsible kwa uzembe huo. Usikate tamaa pambana utatoka ni biashara nzuri hutajuta.
Hii onaonyesha watu wengi wanaingia kwenye hii biashara bila kujipanga au kutokuwa na maarifa. Ukijipanga kama jamaa hapa anavyoelezea mbona biashara inaenda.Naunga mkono 100%. weka urafiki nao nje ya kazi, lakini kwenye Kami lazima glaze kulingana na makubaliano. Mimi niliwanunulia viwanja jambalaya taratibu, hii inamfanya dereva one ni part and parcel ya business, mara zote wanajiona wana deni kwa kuwa pia unajali maendeleo yao. Traffic case inayohusisha gari, mfn refractor, nk. hyo inamhusu tajiri, lakini zenye nature ya uzembe, mfn kuvaa suit, kukatisha route nk. analogous mwenyewe, hata hajisumbui kupiga simu. Mmoja alipigwa faini ya kupakia nje ya kituo, Ana wk anazunguka nayo mfukoni.
Nipm mkuu unipe maujuziBiashara hii yahitaji usimamizi mkubwa sana,kwanza kuwa na mkataba na Dereva means pia mwisho wa mwezi atakuwa na mshahara,mwache awe huru mwenyewe kutafuta konda wake ila wewe utadili na yeye tu,nunua vitu vyako kwaajili ya service na chagua siku maalum ya kufanya service,mfano mi hufanya Service jumapili ,hakuna gari yyt kufanya kazi jumapili ni siku ya service na yupo fundi maalum,service ndogo anahusika dereva,service kubwa zinakuhusu tajiri. Dereva kabla ya jumapili atakwambia kesho yake anaservice gani na gani,ataleta hesabu mliyokubaliana kwa siku mi hiyo siku ya service ndo huleta hesabu ya wiki nzima yaani siku 6. Kuwa na mkataba wa kutokuendesha nje ya root na iwapo atafanya hivyo kazi hana na litakalomkuta atawajibika,so means makosa yote ya kizembe ya barabarani sijui traffic kafanyaje anahusika yeye,labda itokee imekamatwa mfano bodi imechakaa,au viti vimeharibika na aliniambia sikutake action hapo nitawajibika mimi. Kuwa na muda maalumu wa kupaki gari,kama kupaki gari ni saa mbili usiku iwe hivyo siku zote labda itokee ana tenda maalum.
Mkataba wa kazi ndo kiongozi wako,itakuongoza wewe,itamuongoza dereva itamfanya kuwa mwaminifu kwa kazi yake na kuipenda na ataipenda gari,kuwa mtu mwenye msimamo na serious haswaa hasa kwenye swala la pesa na uzembe. Lakini pia kuwa friend kwao siku moja moja cheer up with them wanapofanya vizuri mpe bonas hata buku 10 sikiliza matatizo yao,solve them. Utaishi vyema sana yaani mimi nina madereva wengine huu ni mwaka 6 hata sijabadilisha na ninapoongeza gari wao wenyewe wanakuwa wa kwanza kunitafutia faithfully person,hesabu yangu kwa mwezi kama kawaida ile ile expected na Mungu akibarikia uharibifu mkubwa hujatokea kwenye gari basi ni bam bam. Kikubwa magari yanatakiwa uyapende uyafanyie service za ukweli usiwe mbahili utainjoi sana,mambo ya kubadilisha oil ziwe kama ilivyopangwa kwa kilometre zile zile,penda kunotis utofauti wowote unaouona kwenye gari jua umetokea kwasababu gani siyo unaona tatizo unalifumbia macho,na kama dereva yeye aliona anasikia kila siku hakusema atakuwa responsible kwa uzembe huo. Usikate tamaa pambana utatoka ni biashara nzuri hutajuta.
Ipo tu nipm tu tufanye maongeziASEE TUWASILIANE TUFANYE BIASHARA YA HY DCM, NAITAKA. .....TAFADHALI KIONGOZI
Ni biashara nzur kama unausimamizi mzuri au wewe mwenyewe usmamie inalipaBiashara wakat mwngne nzur
Nataka biashara ya noah mimi hata nikiwa naingiza 40 inatoshaa ila nzur nikiwa naendeshaa mwenyeweNi biashara nzur kama unausimamizi mzuri au wewe mwenyewe usmamie inalipa
Tueleze experience yakonna experience nayo hii business kidogo!
Uko smart sana nimepata kituBiashara hii yahitaji usimamizi mkubwa sana,kwanza kuwa na mkataba na Dereva means pia mwisho wa mwezi atakuwa na mshahara,mwache awe huru mwenyewe kutafuta konda wake ila wewe utadili na yeye tu,nunua vitu vyako kwaajili ya service na chagua siku maalum ya kufanya service,mfano mi hufanya Service jumapili ,hakuna gari yyt kufanya kazi jumapili ni siku ya service na yupo fundi maalum,service ndogo anahusika dereva,service kubwa zinakuhusu tajiri. Dereva kabla ya jumapili atakwambia kesho yake anaservice gani na gani,ataleta hesabu mliyokubaliana kwa siku mi hiyo siku ya service ndo huleta hesabu ya wiki nzima yaani siku 6. Kuwa na mkataba wa kutokuendesha nje ya root na iwapo atafanya hivyo kazi hana na litakalomkuta atawajibika,so means makosa yote ya kizembe ya barabarani sijui traffic kafanyaje anahusika yeye,labda itokee imekamatwa mfano bodi imechakaa,au viti vimeharibika na aliniambia sikutake action hapo nitawajibika mimi. Kuwa na muda maalumu wa kupaki gari,kama kupaki gari ni saa mbili usiku iwe hivyo siku zote labda itokee ana tenda maalum.
Mkataba wa kazi ndo kiongozi wako,itakuongoza wewe,itamuongoza dereva itamfanya kuwa mwaminifu kwa kazi yake na kuipenda na ataipenda gari,kuwa mtu mwenye msimamo na serious haswaa hasa kwenye swala la pesa na uzembe. Lakini pia kuwa friend kwao siku moja moja cheer up with them wanapofanya vizuri mpe bonas hata buku 10 sikiliza matatizo yao,solve them. Utaishi vyema sana yaani mimi nina madereva wengine huu ni mwaka 6 hata sijabadilisha na ninapoongeza gari wao wenyewe wanakuwa wa kwanza kunitafutia faithfully person,hesabu yangu kwa mwezi kama kawaida ile ile expected na Mungu akibarikia uharibifu mkubwa hujatokea kwenye gari basi ni bam bam. Kikubwa magari yanatakiwa uyapende uyafanyie service za ukweli usiwe mbahili utainjoi sana,mambo ya kubadilisha oil ziwe kama ilivyopangwa kwa kilometre zile zile,penda kunotis utofauti wowote unaouona kwenye gari jua umetokea kwasababu gani siyo unaona tatizo unalifumbia macho,na kama dereva yeye aliona anasikia kila siku hakusema atakuwa responsible kwa uzembe huo. Usikate tamaa pambana utatoka ni biashara nzuri hutajuta.
Komaa mpe Dereva mkataba na salary halafu mwambie faini zinahusiana na makosa uendeshaji ni yeye Ila faini zinahusiana na ubovu wa gari utalipa wewe..
Kingine Dereva akizengua mwambie rudisha gari nyumbani usioneshe kama gari ndio unaitegemea sana kuendesha maisha..
Cha mwisho lipia vitu vyote vinavyohusiana na hiyo biashara..
Mkuu hiyo DCM ushauzaKama huwez kusimamia hiyo daladala uza maana biashara ya daladala ni kuwa makin kwenye usimamiamizi. Mimi nina DCM limenishinda kwa ajili ya usmamizi nakosa muda wa kusimamia kwa sababu ya shughuli zangu hiv sasa liko sokon naliuza
Everlenk habari yako, nimependa haya maelezo na mimi nataka kuingia kwenye hii biashara, tafadhali naomba unibeep kwenye namba yangu ambayo ni 0753122225 ili tuongee kwa kirefu zaidi. Ubarikiwe.Biashara hii yahitaji usimamizi mkubwa sana,kwanza kuwa na mkataba na Dereva means pia mwisho wa mwezi atakuwa na mshahara,mwache awe huru mwenyewe kutafuta konda wake ila wewe utadili na yeye tu,nunua vitu vyako kwaajili ya service na chagua siku maalum ya kufanya service,mfano mi hufanya Service jumapili ,hakuna gari yyt kufanya kazi jumapili ni siku ya service na yupo fundi maalum,service ndogo anahusika dereva,service kubwa zinakuhusu tajiri. Dereva kabla ya jumapili atakwambia kesho yake anaservice gani na gani,ataleta hesabu mliyokubaliana kwa siku mi hiyo siku ya service ndo huleta hesabu ya wiki nzima yaani siku 6. Kuwa na mkataba wa kutokuendesha nje ya root na iwapo atafanya hivyo kazi hana na litakalomkuta atawajibika,so means makosa yote ya kizembe ya barabarani sijui traffic kafanyaje anahusika yeye,labda itokee imekamatwa mfano bodi imechakaa,au viti vimeharibika na aliniambia sikutake action hapo nitawajibika mimi. Kuwa na muda maalumu wa kupaki gari,kama kupaki gari ni saa mbili usiku iwe hivyo siku zote labda itokee ana tenda maalum.
Mkataba wa kazi ndo kiongozi wako,itakuongoza wewe,itamuongoza dereva itamfanya kuwa mwaminifu kwa kazi yake na kuipenda na ataipenda gari,kuwa mtu mwenye msimamo na serious haswaa hasa kwenye swala la pesa na uzembe. Lakini pia kuwa friend kwao siku moja moja cheer up with them wanapofanya vizuri mpe bonas hata buku 10 sikiliza matatizo yao,solve them. Utaishi vyema sana yaani mimi nina madereva wengine huu ni mwaka 6 hata sijabadilisha na ninapoongeza gari wao wenyewe wanakuwa wa kwanza kunitafutia faithfully person,hesabu yangu kwa mwezi kama kawaida ile ile expected na Mungu akibarikia uharibifu mkubwa hujatokea kwenye gari basi ni bam bam. Kikubwa magari yanatakiwa uyapende uyafanyie service za ukweli usiwe mbahili utainjoi sana,mambo ya kubadilisha oil ziwe kama ilivyopangwa kwa kilometre zile zile,penda kunotis utofauti wowote unaouona kwenye gari jua umetokea kwasababu gani siyo unaona tatizo unalifumbia macho,na kama dereva yeye aliona anasikia kila siku hakusema atakuwa responsible kwa uzembe huo. Usikate tamaa pambana utatoka ni biashara nzuri hutajuta.
Kweli dada Witness, huyu mtu siyo mchoyo, katuelimisha kuhusu hii biashara. MUngu ambariki sana.Uzi mzuri sana huu