Jamani bima huwa wanalipa kweli ukipata accident ya gari?

Mimi nimetoka kulipwa jana tu nafikiri inategemea mambo mengi na hasa aina gani ya bima pia

Mfano mimi bima ilikuwa kubwa na nilipopata tatizo ndani ya masaa 24 nikawapa taarifa ' insurer' wangu pia nikamwita traffic polisi kupima michoro na maelezo

Sema siku hizi haupati /kulipwa ki rahisi mpaka waangalie mambo mengi

Report ya police ( hapa kama mnaendesha case kuna issue ya mahakama) pamoja na gari kukaguliwa na inspector wa trafic police na kukupa report kupeleka kwa 'insurer '

Leseni ya udereva (valid)

Cover note yako kuwapa copy japokuwa pia wanakuwa nayo au kwa agent ulipokatia wanakupa

Kadi ya gari

Pia ukielekea kulipwa wanataka pia accessor wao aone na kutoa report kwao na watakwambia profoma invoice ya garage

Hizo ni kwa issue za gari na wakijiridhisha unalipwa sema wanaweza kulipa pungufu hapo utakutana na misamiati sijui uchakavu wa gari mara nini na pia tujue nao ni biashara wanataka faida kwa kukubana na si tu kutoa huduma
 
Umenena vyema... What matters most ni aina gani ya kampuni ya Bima umeingia nayo mkataba. Nina good but hard experience na Reliance Insurers... Walinilipa lakini kwa mbinde kidogo... Lazima uwe mkali sana na hizo evidence hapo juu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi nime kuelewa vyema ndugu, mimi nina required documents zote,, mpaka hukumu ninayo,, nataka nilipwe fidia baada yakupata accident na gari yenye bima ambayo ni third paty, na third paty mwenyewe si ndio mimi abiria?

Utalipwa vizuri tu ila inabidi uwe msumbufu, mfatiliaji na mtulivu maana claim za third party zinachukuaga muda kiasi..

Kaka naomba nikupe feedback ya swala langu labima, jana wame jibu maombi yangu yakutaka fidia baada ya kuumia kwenye accident kwamba wata kamilisha maombi yangu punde
 
Utalipwa vizuri tu ila inabidi uwe msumbufu, mfatiliaji na mtulivu maana claim za third party zinachukuaga muda kiasi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka habari, mrejesho wangu wa madai yangu ya bima huu hapa asee
2d07fef01fc193814904af0b957b402b.jpg
 
Investigator atakuja kukuhoji, kupitia na kuchunguza documents zote halafu ataandaa ripoti na kuipeleka kwa Insurer.
 
Back
Top Bottom