Jamani bima huwa wanalipa kweli ukipata accident ya gari?

Kaka habari, mrejesho wangu wa madai yangu ya bima huu hapa asee
2d07fef01fc193814904af0b957b402b.jpg
Sounds good, ila next time document kama hii ni confidential, hapo umeshajulikana wewe ni nani.. ungeziba majina na hata jina la iyo kampuni..
 
Ukifuata njia halali utasubiria mpaka uchaguzi 2045 ika njia za uani unalipwa ni dakika sifuri ushalipw
 
Sounds good, ila next time document kama hii ni confidential, hapo umeshajulikana wewe ni nani.. ungeziba majina na hata jina la iyo kampuni..
Sawa, nime kusoma, sema nimeona sababu haina jina langu
 
"]Sounds good, ila next time document kama hii ni confidential, hapo umeshajulikana wewe ni nani.. ungeziba majina na hata jina la iyo kampuni..[/QUOTE]
 
Kaka habari, mrejesho wangu wa madai yangu ya bima huu hapa asee
2d07fef01fc193814904af0b957b402b.jpg
Hawa jamaa ni wasumbufu sana, komaa nao sana watakulipa.
Milu nilipeleka nyaraka zote zinazohitajika na ripoti ya assessor ikatoka kuwa nastahili kulipwa, wakafanya janjajanja na kutafuta ripoti ya pili toka kwa assessor huyohuyo inayosema sitakiwi kulipwa..

Mpaka sasa hawajanilipa na tumefikishana mahakamani kwa hilo...

Kimsingi, bima huwa wanalipa lakini kwa uchungu sana, pambana upate haki yako
 
Mkuu hakuna magumashi kama unakata bima first part.
Na hio first part kuikata inategemea na model ya gari yako.
Pili inataka moyo kuilipia hio first part.
Majuz kati rafki yangu alipata ajali akiwa anatoka Ngara
Gari yake land cruiser (macho panzi).
Bima(Insurance)alikua ameikatia mil 2,477,000 INA Mwaka wa pili alipata ajali kwa bahat mbaya mkewe alifariki ktk hio ajali.
Ndani ya wiki moja yeye bado akiwa hospitalini alilipwa mafao yake Kamili!!;
Hakuna magumashi wala nini??
Sasa wewe unaka vitz utaweza kukakatia bima ya daraja la kwanza??
 
Bima aina ya comprehensive inalipa gari ya aina yeyote bila ubaguzi.

Na hukatwa ka perecentage kulingana na thamani ya gari
 
Hawa jamaa ni wasumbufu sana, komaa nao sana watakulipa.
Milu nilipeleka nyaraka zote zinazohitajika na ripoti ya assessor ikatoka kuwa nastahili kulipwa, wakafanya janjajanja na kutafuta ripoti ya pili toka kwa assessor huyohuyo inayosema sitakiwi kulipwa..

Mpaka sasa hawajanilipa na tumefikishana mahakamani kwa hilo...

Kimsingi, bima huwa wanalipa lakini kwa uchungu sana, pambana upate haki yako
Hahahaaa, hiyo janjajanja ni kiboko,, kwani yule mpelelezi kazi yake si kuthibitisha kua kwenye ajali iliyo tokea ulikuwepo ama hukuwepo kaka?
 
Sounds good, ila next time document kama hii ni confidential, hapo umeshajulikana wewe ni nani.. ungeziba majina na hata jina la iyo kampuni..
Mkuu vipi? Kuna feedback hapa ya bima
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom