Jamani budget inasemaje kwa wanachuo elimu ya juu boom up or?

Hamna kitu boom linabaki palepale! By the way Just note that u should not fight too much for increased boom allowance as the deductions you gona face after you finish college is already enough for most of the Tanzanian salaries
 
Hamna kitu boom linabaki palepale! By the way Just note that u should not fight too much for increased boom allowance as the deductions you gona face after you finish college is already enough for most of the Tanzanian salaries

am not sure who ur and what is ur occupation but to me u seem like ur among those who does not no the way life at college can be challenging because of lack of money. so it doesnt matter how much we owe the government in form of loans, there is the need for increase in the boom because life is changing and life is becoming higher and higher.
 

exactly
 
Ni kweli kuwa u mwanafunzi na maisha ya chuo ni magumu,we knw tht na ninamdogo
Wng namsomesha mwenyewe udsm na hana mkopo bt thanx to her anajua kuwa maisha yakoje,anajibana sn na maisha yanakwenda,najua boom kazi yake kubwa ni kujirusha tu,naishi dodoma na naona kipindi wanachuo wanapoekewa boom,club kwa sn,pombe na kujiachia kusikokuwa na mpango!!!ila haipiti wiki 3 utaona wamekaukiwa.
Hope u are still young na ukikua na ukawa na majukumu utaelewa nalozungumza.soma sn na usiwaze swala la boom.
 
 
boom mpango mzima.najua udsm wao wanasubiri revolution!! Nyomi inaitikia for changeeeeee! Revolusheeeeeeeni! Nyomi: for changeeeeeeeeeeee!!
 
Hii inaonesha tumeweka mawazo kwenye serikali kutulipia gharama za elimu. Ni vyema lakini hiyo serikali haijatupa nguvu au msukumo wa kutosha kuhusu wazazi kusomesha watoto wao.

Kuna kila sababu kwa kizazi kichajo kutambua kuwa gharama za elimu zibebwe na wazazi..Lakini ni jambo la muda mrefu na linahitaji mipango thabiti.

Bumu kwa maisha ya sasa halitoshi kabisa..mtu unaishi kama mtumwa, na ni maisha ya kubahatisha
 
At least some positive measures are being taken!

 
At least some positive measures are being taken!


sijui kama ni mimi ndo cjaelewa vzr hapo au vp,as naona kama hajaspecify kama ni boom lnaongezwa au ni idadi ya wanafunzi watakao kopeshwa ndo itaongezwa...
 
sijui kama ni mimi ndo cjaelewa vzr hapo au vp,as naona kama hajaspecify kama ni boom lnaongezwa au ni idadi ya wanafunzi watakao kopeshwa ndo itaongezwa...

ata mimi bado sijaelewa,boom au lundo la wanafunz kule chuo kikubwa.
 

mkubwa, sio wote wenye matumizi kama hayo uliyoainisha hapo juu! Maisha yamekua magumu mno! Just imagine photocopy unatoa madesa yanayocost zaidi ya elf6! Hapo bado hujala,! Tufunguke jamani..aaaargh
 
meal na accomodation naona zinatosha 5000 kubwa kwa maisha ya mtz maoni yangu naona pattern za mkopo ziongezeke isiwe meal book stationary na accomodation viongezeke vitu kama mkopo wa usafiri (nauli) vocha, disko, mkopo wa kumpa gf wako i think itasaidia
 

mara moja moja jtahid kuwa serious mkuu kwenye ishu muhimu...yan wanafunz wapewe pesa za kuwahonga ma gf wao na wkt kuna watanzania hawajui kesho watakula nin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…