deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Najua wengi wamesikilzia hlo tupeni updates.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu boom linabaki palepale! By the way Just note that u should not fight too much for increased boom allowance as the deductions you gona face after you finish college is already enough for most of the Tanzanian salaries
am not sure who ur and what is ur occupation but to me u seem like ur among those who does not no the way life at college can be challenging because of lack of money. so it doesnt matter how much we owe the government in form of loans, there is the need for increase in the boom because life is changing and life is becoming higher and higher.
Ni kweli kuwa u mwanafunzi na maisha ya chuo ni magumu,we knw tht na ninamdogoam not sure who ur and what is ur occupation but to me u seem like ur among those who does not no the way life at college can be challenging because of lack of money. so it doesnt matter how much we owe the government in form of loans, there is the need for increase in the boom because life is changing and life is becoming higher and higher.
Ni kweli kuwa u mwanafunzi na maisha ya chuo ni magumu,we knw tht na ninamdogo
Wng namsomesha mwenyewe udsm na hana mkopo bt thanx to her anajua kuwa maisha yakoje,anajibana sn na maisha yanakwenda,najua boom kazi yake kubwa ni kujirusha tu,naishi dodoma na naona kipindi wanachuo wanapoekewa boom,club kwa sn,pombe na kujiachia kusikokuwa na mpango!!!ila haipiti wiki 3 utaona wamekaukiwa.
Hope u are still young na ukikua na ukawa na majukumu utaelewa nalozungumza.soma sn na u
sio wote wanandugu au makaka wenyeuwezo wa kuwalipia cost za chuo kikuu dats y 2nawaza hyo k2.
79. Mheshimiwa Spika, napendekeza kufanya marekebisho kwenye sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, SURA 82 kama ifuatavyo:
i) Kufanya marekebisho katika mgawanyo wa mapato yatokanayo na tozo ya kuendeleza ufundi stadi (Skills Development Levy) ya asilimia 6 ili asilimia 4 zipelekwe kwenye Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, na asilimia 2 zipelekwe Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Vocational Education and Training Authority - VETA). Lengo la hatua hii ni kuongeza fedha za mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.
At least some positive measures are being taken!
sijui kama ni mimi ndo cjaelewa vzr hapo au vp,as naona kama hajaspecify kama ni boom lnaongezwa au ni idadi ya wanafunzi watakao kopeshwa ndo itaongezwa...
Ni kweli kuwa u mwanafunzi na maisha ya chuo ni magumu,we knw tht na ninamdogo
Wng namsomesha mwenyewe udsm na hana mkopo bt thanx to her anajua kuwa maisha yakoje,anajibana sn na maisha yanakwenda,najua boom kazi yake kubwa ni kujirusha tu,naishi dodoma na naona kipindi wanachuo wanapoekewa boom,club kwa sn,pombe na kujiachia kusikokuwa na mpango!!!ila haipiti wiki 3 utaona wamekaukiwa.
Hope u are still young na ukikua na ukawa na majukumu utaelewa nalozungumza.soma sn na usiwaze swala la boom.
meal na accomodation naona zinatosha 5000 kubwa kwa maisha ya mtz maoni yangu naona pattern za mkopo ziongezeke isiwe meal book stationary na accomodation viongezeke vitu kama mkopo wa usafiri (nauli) vocha, disko, mkopo wa kumpa gf wako i think itasaidia