Jamani cod na 0788 si ya airtel

buchenza

Senior Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
190
Reaction score
66
Nimeona kwenye fiesta arusha wanauza tiketi kwa airtel na mzamini mkuu ni tigo hii ikoje???
 
Ndo nauliza hii imekaaje huyu wakala wa kuuza tiketi hakujua? Maana tigo wanafanya biashara hii mihamala yote tigo anapata mini?
 
OK labda hapo poa lakini vipi kwenye kujitangaza kibiashara?
 
Hapo wanatangaza biashara ya Tigo unatumia huduma ya pesa kwenda mitandao yote, kwani wewe husikii matangazo ya chile wa bodaboda.?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…