buchenza Senior Member Joined Aug 24, 2012 Posts 190 Reaction score 66 Sep 28, 2016 #1 Nimeona kwenye fiesta arusha wanauza tiketi kwa airtel na mzamini mkuu ni tigo hii ikoje???
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,404 Sep 28, 2016 #2 ......kwanini usiwaulize
buchenza Senior Member Joined Aug 24, 2012 Posts 190 Reaction score 66 Sep 28, 2016 Thread starter #3 Ndo nauliza hii imekaaje huyu wakala wa kuuza tiketi hakujua? Maana tigo wanafanya biashara hii mihamala yote tigo anapata mini?
Ndo nauliza hii imekaaje huyu wakala wa kuuza tiketi hakujua? Maana tigo wanafanya biashara hii mihamala yote tigo anapata mini?
Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,828 Sep 28, 2016 #4 Ipo ya kununua kwa mtandao wowote mkuu
buchenza Senior Member Joined Aug 24, 2012 Posts 190 Reaction score 66 Sep 28, 2016 Thread starter #5 OK labda hapo poa lakini vipi kwenye kujitangaza kibiashara?
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,536 Sep 29, 2016 #6 Hapo wanatangaza biashara ya Tigo unatumia huduma ya pesa kwenda mitandao yote, kwani wewe husikii matangazo ya chile wa bodaboda.?!
Hapo wanatangaza biashara ya Tigo unatumia huduma ya pesa kwenda mitandao yote, kwani wewe husikii matangazo ya chile wa bodaboda.?!