Jamani Condom zipi ni nzuri?

Jamani Condom zipi ni nzuri?

watoto wa kiume wa siku hizi ovyo kabisa..eti huyu naye ni faza house!!!!!
 
naomba msaada kwa wale wataalam wanaojua hizi Condom, zipi ni nzuri kwa matumiz ya binadamu??
siyo kwamba nachepuka!!, ni wasiwasi tu juu ya huyu mke jaman msaada plizzz...!!

Rafuraida! Kitu kama hujavaa vile! Vile vipele bwana?
 
Kondom zote ni mbaya hakuna hata moja nzuri. Nenda kavu ni mpango mzima kwa sababu ni mkeo, wa kufa na kuzikana, wa kwenye shida na raha.
 
naomba msaada kwa wale wataalam wanaojua hizi Condom, zipi ni nzuri kwa matumiz ya binadamu??
siyo kwamba nachepuka!!, ni wasiwasi tu juu ya huyu mke jaman msaada plizzz...!!
Piga house girl kavukavu na zaa nae, nabii Tito atakubariki na kukupa kiroba!
 
Mmh kama mna mtoto mdogo na mkeo tumia condom wasikudanganye hao, usipofanya ivyo utabebanisha watoto njia za kunywa vidonge au kuchomwa si ndano si nzuri kwa mkeo, condom nenda duka la madawa nunua mana naamini zitakuwa nzuri ila kama wewe si mbaili nunua rough rider nzuri sana
 
Tatizo utakuwa unatumiaga za bei cheee dukani kwa mangi. Nakushauri nenda pharmacy tena yenye kiyoyozi ongea na wauzaji watakushari nzuri
 
ni pm Mimi nikuuzie nna paketi tatu nlizinunua Nairobi hizi ni imara sana!
ni tamu pia ukishatumia unazifua na kuzitunza !
tangu nizinunue huwa natumia paketi moja tu naifua wakati mwingine nampaga dingi akatumie kwenye michepuko kisha ananirudishia nazifua natumia kwa madem zangu!

***** Zako Wewe Mbwa Dume,Una Laana Wewe
 
Inategemeana na mwanamke unapanga kufanyanae,zipo za malaya naza wanawake wanaojiheshimu sasa inategemea huyo ni wa ainagani ili tukushauri.

Pia kunazile spesheli kwa tigo tu, zinakuwa ngumu na mafuta mengi.
 
Tumia,midnight au wet n wet aina hizi ni ghali kati ya sh 5000 PAKti ya piece3 but ni imara hata ushinde umesimamisha kucha haipasuki ng'o
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom