Jamani Condom zipi ni nzuri?

Matumizi ya mpira si mazuri katika ndoa...
 

watu wengne akili zimewaruka seriously!
 
naomba msaada kwa wale wataalam wanaojua hizi Condom, zipi ni nzuri kwa matumiz ya binadamu??
siyo kwamba nachepuka!!, ni wasiwasi tu juu ya huyu mke jaman msaada plizzz...!!

zile zenye vipelepele mkuu jina lake sijuwi kaulizie pharmacy....hata kama unachepuka we uwe huru naniliu ni yako hutumii ya mtu!
 
usalama pekee kuepukana na mambo haya ni kupiga kavu ..kavu ndio mwisho wa kila kitu
 
ushauri mwingine ni mgumu kuutoa, yaani una wasiwasi na mkeo, solution umeona ni kutumia condom. labda nikuulize utatumia condom kwa huyo mkeo hadi lini? au huo wasi wasi utaumalizaje kwa mkeo? Tatua ishu ya wasiwasi kwa mkeo
Achana na hili b.w.e.g mambo ya kuongelea ya kimaendeleo yako mengi tu , yeye anatuambia mkewe anachepuka. Kwanini alikwenda kuoa changu wakati wanawake wenye heshma wanazehekea kwa baba zao.
 
Serengeti.n.nzuri.ingawa n.laini

Ukishindwa kuna safari..dompo

Santiana.hizi.n.kwa.wanawake weupe

Dry gin..heinnekessy hizi kwa wanawake weusi...

Nt..all. ondoms above use n.ur.own risk
 
usalama pekee kuepukana na mambo haya ni kupiga kavu ..kavu ndio mwisho wa kila kitu
Dk happ umemaliza.kabisaa waelekeze.na.cheapest.majeneza yanapatkana.manzese .kwa.mawasiliano.zaidi wanipm

Tunatoa.na shada.moja.lamaua.bure
...
 
ukisha pata nzuri uje unitonye na mimi......!!!!! ahaaaa.....jokes.
 
Ningekushauri lakin mimi sijawahi kutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…