wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Golf ya kuuzwa pesa hio inapatikana wapi mkuu?Huyo Alikuwa anaongelea GOLF
4gr na 3gr hizi zitaachwa na VQ35DE(fuga) lkn 2gr hio inaiacha fuga.
mi Cjui, Mcheck aliyetoa data hiyoGolf ya kuuzwa pesa hio inapatikana wapi mkuu?
Kula kwa urefu wa kamba yako.
Hakuna golf ya Bei hio.mi Cjui, Mcheck aliyetoa data hiyo
tupo kimya tunawacheki tu wanavyojipa presha ya bure,wakati maisha ni mafupi sana.,Hahaahaha ni shida!Sisi wenye 3s-Fe hatuwaziii mafuta
Hii injini ya gari gani bro? Au ni code za betpawaUsicheze na VQ35DE.
Nissan fuga GT 350Hii injini ya gari gani bro? Au ni code za betpawa
2GR ipo kwenye Crown Majesta ule ni mziki mwengine4gr na 3gr hizi zitaachwa na VQ35DE(fuga) lkn 2gr hio inaiacha fuga.
Washamba ushambani!VW Golf GTI funga kaziπ
2GR pia zipo na kwenye Athlete baadhi2GR ipo kwenye Crown Majesta ule ni mziki mwengine
2GR ipo kwenye Crown Majesta ule ni mziki mwengine
Hii ndio roket ya chini ,kuanzia bodi ya kibabe sana ,mweno ndio km wa roket za spece x ....Fuga GT 350 halina mpinzan
halina mpinzani au sio πππHii ndio roket ya chini ,kuanzia bodi ya kibabe sana ,mweno ndio km wa roket za spece x ....Fuga GT 350 halina mpinzan
Nissan hapa walicheza sana ......mwendo kama wote mafuta km linanusa tuhalina mpinzani au sio [emoji3][emoji3][emoji3]
Vipi kuhusu services zake mwili wake ile body yake huwa naikubali sana lile dudeNissan hapa walicheza sana ......mwendo kama wote mafuta km linanusa tu
Wenye uzoefu waje watuambieVipi kuhusu services zake mwili wake ile body yake huwa naikubali sana lile dude
Ila GT350 mnaishindanisha na gari kwanza hadi kusema haina mpinzani πππ
So mln 11 nachukua gari yangu pale gate no 2 karibu na central police,sasa why huku mitaa unakuta crown namba DAA dalali anauza kwa mln 13!