kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Sema pale m south kauwa sana upate manual sasa ndio utafaidaNaikubali sana hii gari. Ila VW G msouth kawaua wajapani, hakuna cha mark X wala Crown
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema pale m south kauwa sana upate manual sasa ndio utafaidaNaikubali sana hii gari. Ila VW G msouth kawaua wajapani, hakuna cha mark X wala Crown
Wanaipambanisha na gari sasa 😀😀😀Inatepeta kwa 350G Mark. X au Crown
Mark 2 grande
Na we bila ajizi unapilizaaa 😀😀😀😀Hua wanaloa mbya kabisa,ukiingiza mkono tu unapokelewa kwa shangwe huku ukiitwa my hub., hahaha.
😄😄😄 Kama nawapuliza tu mkuu 😄😄Na we bila ajizi unapilizaaa 😀😀😀😀
Huu ni ubakaji kabisaaa kushindanisha na new model zetu huyo ana wababe wenzakeFanyeni vurugu zote ila mkikutana na huyu mnyama lazima mtoe heshima, nimeweka wa zamani kidogo ili aendane na new model zetu😁
View attachment 1983510View attachment 1983511
hamana namnaaa maana nao wamezidi utamu siku hizi sijui wanatuwekea nini tu😄😄😄 Kama nawapuliza tu mkuu 😄😄
😄😄 Achana na kitu inaitwa utelezi.hamana namnaaa maana nao wamezidi utamu siku hizi sijui wanatuwekea nini tu
Na ukutane na utelezi una vuta kwa ndani ule wenye wave unaifinya kwa ndani utazima zako 😀😀😀😄😄 Achana na kitu inaitwa utelezi.
Kuna gari haikimbii?
Sedan inakuaje gari Kali?
Sedan inakuaje gari Kali?
Yes miongoni mwa magari ya toyota ya muda mrefu ni hilo ma cruiser na CorollaCrown sio Gari ya mpito kama unavyofikiria, Crown imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1959 na ni flagship of Toyota kwa Sedan cars, kule Japan inatumika sana kusafirishia viongozi wa serikali na hutumika kama patrol car kwa jeshi la polisi. Driving habits ndio inayoua watu usipofata sheria za barabarani na ushamba mwengine mwengine huko barabarani gari yoyote ile itakusababishia kifo. Sehem kubwa ya barabara za Tanzania sio salama sana kuendesha kwa over 150km/hr.
NB: Gari kama Crown comfortability yake na utulivu wake barabarani ata unapokuwa 180km/hr unajiona kama upo 80km/hr na hapo ndio tatizo linapoanzia
Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.Wakuu naomba kuuliza swali,
Hivi hizo Crown, Fuga, Mark X n.k hivi ukifika Speed 180km/hr mshale ukasoma hapo baada ya hapo unaenda wapi? Au kinachofuata ni nini? Regardless umetumia sekunde 10 kufika speed ya 180.
Utajisikiaje unafika speed 180 umemaliza halafu kanatokea ka BMW 3Series ka mwaka 2006 kana kupita kakiwa speed 220? na bado speed inadai mpaka 260km/hr? Mbaya zaidi kana CC 2,000 [emoji16]
Mimi nikifikiria hilo bado mjerumani nampa heshima yake.
cc ngapi??Fanyeni vurugu zote ila mkikutana na huyu mnyama lazima mtoe heshima, nimeweka wa zamani kidogo ili aendane na new model zetu😁
View attachment 1983510View attachment 1983511
cc 6300cc ngapi??
Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.
Hiyo gari huwa inagusa 180kmph at 5000rpm ukiwa 4th gear na inamaintain 180kmph at 4000rpm at 5th gear.
Kama barabara inaruhusu, ki VW cha cc1800 kitakuja kikufikie na kikupite huku wewe uko stuck at 180 na huna la kufanya.
Yana mwendo sawa, engine zake zina nguvu sana, zina acceleration ya ajabu, ila hazifui dafu mbele ya mzungu mwenye turbocharged 3000cc au zaidi.
View attachment 2183503