Jamani Crown Athlete ni kali

Jamani Crown Athlete ni kali

Hivi unaelewa maana ya aftermarket parts? HKS wao wamespecialize ku tune gari JDM (Japanese Domestic Market) sheria ya JAMA hairuhusu gari ya JDM kuzidi 180KM/H kwaio hakuna gari inayotoka kiwandani kwa ajili ya JDM ikazidi Speed 180KM/H kwaio hapo ndo wanapoingia HKS speedometer inazidi na kufika huko kwenye hio 260km/h za huko ujerumani..hiki kifaa sio changu mimi mzee ni cha HKS..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana umemaindi kufahamishwa kwamba JDM zinatoboa zaidi ya 180KM/H...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] HKS Speed Limit Defencer haiwezi fungwa kwenye gari za kizungu(Audi, Golf GTI,BMW) ni za JDM tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimekuelewa
Ila Samahani mkuu,
Hivi hizi Landcruiser ambazo huwa zina speedmeter 240 km au hizi nissan au suzuki used ambazo huwa tunanunua used kutoka Japan ambazo zina speed zaidi ya 180 km/ hr mbona zinakuwa zimetumika Japan?
Licha ya Zuio hilo?
Mfano hii ni SUZUKI SX 4 na ina speedmeter ya 200 km/ hr


Na iko Japan je hii gari hairuhudiwi kutumika Japsn?, mbona ni used?
 
Nimekuelewa
Ila Samahani mkuu,
Hivi hizi Landcruiser ambazo huwa zina speedmeter 240 km au hizi nissan au suzuki used ambazo huwa tunanunua used kutoka Japan ambazo zina speed zaidi ya 180 km/ hr mbona zinakuwa zimetumika Japan?
Licha ya Zuio hilo?
Mfano hii ni SUZUKI SX 4 na ina speedmeter ya 200 km/ hr


Na iko Japan je hii gari hairuhudiwi kutumika Japsn?, mbona ni used?
Jibu la swali lako lipo kwenye hii screenshot mwanzoni sikusoma vizuri kuhusu JAMA kwamba ni Voluntary request kwaio kama ni voluntary unaweza kuchagua kufanya ama kutokufanya..katika maelezo yangu nilielezea kama vile ni mandatory speed kua 180KM/H ila ni vizuri maana ume admit mwenyewe kwamba yapo magari yenye zaidi ya 180KM/H tena JDM mimi nilijikita kwa wale tunaotaka kukata utepe wa 180KM/H...🤣🤣🤣🤣🤣 tukizichapa hizo European Cars...🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 20220616_224138.jpg
    20220616_224138.jpg
    84.4 KB · Views: 52
Mtaalamu gari ukiambiwa ni naturally aspirated maana yake haina Turbo( use of forced induction) hio Golf GTI ulioweka ina forced induction(Turbo) ndo maana imeweza kufika hio speed kubwa...
Naona anazidi tu kuleta video ndo mana nimeamua kutomjibu maana haelewi...

Yeye anaanza leta gari zenye turbo...wenzetu wanaeza force 5L v8 engine kutoa 1200hp equal to 240hp per 1.0L
 
Jibu la swali lako lipo kwenye hii screenshot mwanzoni sikusoma vizuri kuhusu JAMA kwamba ni Voluntary request kwaio kama ni voluntary unaweza kuchagua kufanya ama kutokufanya..katika maelezo yangu nilielezea kama vile ni mandatory speed kua 180KM/H ila ni vizuri maana ume admit mwenyewe kwamba yapo magari yenye zaidi ya 180KM/H tena JDM mimi nilijikita kwa wale tunaotaka kukata utepe wa 180KM/H...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukizichapa hizo European Cars...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sawa mkuu
 
Wakuu naomba kuuliza swali,

Hivi hizo Crown, Fuga, Mark X n.k hivi ukifika Speed 180km/hr mshale ukasoma hapo baada ya hapo unaenda wapi? Au kinachofuata ni nini? Regardless umetumia sekunde 10 kufika speed ya 180.

Utajisikiaje unafika speed 180 umemaliza halafu kanatokea ka BMW 3Series ka mwaka 2006 kana kupita kakiwa speed 220? na bado speed inadai mpaka 260km/hr? Mbaya zaidi kana CC 2,000 [emoji16]

Mimi nikifikiria hilo bado mjerumani nampa heshima yake.
Haya mawazo yako ya kilevi unayatoa wapi wewe yaani ufike speed 180 kwa sekunde kumi wewe unaota alafu kuna kitu huelewi jatibu kujofunza taratibu utaelewa
 
Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.

Hiyo gari huwa inagusa 180kmph at 5000rpm ukiwa 4th gear na inamaintain 180kmph at 4000rpm at 5th gear.

Kama barabara inaruhusu, ki VW cha cc1800 kitakuja kikufikie na kikupite huku wewe uko stuck at 180 na huna la kufanya.

Yana mwendo sawa, engine zake zina nguvu sana, zina acceleration ya ajabu, ila hazifui dafu mbele ya mzungu mwenye turbocharged 3000cc au zaidi.

View attachment 2183503
Apa tunaongelea natural aspirated car mzee ama huelewi maana ya natural aspirated mzee
 
Ukiona unaikubali sana hiyo Gari Iitakuja kukuzika siku Moja,Mimi Nayapenda kama magari mengine tuu!!
 
Back
Top Bottom