msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Haya mambo ya kudhalilishwa na kigari kenye engine ndogo inakeraMaelezo mazuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya kudhalilishwa na kigari kenye engine ndogo inakeraMaelezo mazuri sana
Haya mambo ya kudhalilishwa na kigari kenye engine ndogo inakera
Haya mambo ya kudhalilishwa na kigari kenye engine ndogo inakera
Ukimaliza 180 ka Audi A4 kanaanza kukuvuta taratibu😂😂😂Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.
Hiyo gari huwa inagusa 180kmph at 5000rpm ukiwa 4th gear na inamaintain 180kmph at 4000rpm at 5th gear.
Kama barabara inaruhusu, ki VW cha cc1800 kitakuja kikufikie na kikupite huku wewe uko stuck at 180 na huna la kufanya.
Yana mwendo sawa, engine zake zina nguvu sana, zina acceleration ya ajabu, ila hazifui dafu mbele ya mzungu mwenye turbocharged 3000cc au zaidi.
View attachment 2183503
Was on Audi A4. 2.0 TFSI quattro max speed. 280 km/hr from Dar to ArushaSijasema Crown ni gari ya mpito!
Nimesema ni gari ambayo,unaweza kua upo na 160km/hr na wala usishangae! Ukipata changamoto kama hutapoteza maisha ndiyo utajua kumbe nilikua nakitafuta kifo!
Ni sawa na Audi A4,hua ni very comfortable and luxury! Nilishawahi toka na Audi A4 ya brother dar to Kahama,nilipofika Kahama,alitamani kunimeza,maana nilifika mapema sana,maana yake nilikua natembea balaa!
Wakuu naomba kuuliza swali,
Hivi hizo Crown, Fuga, Mark X n.k hivi ukifika Speed 180km/hr mshale ukasoma hapo baada ya hapo unaenda wapi? Au kinachofuata ni nini? Regardless umetumia sekunde 10 kufika speed ya 180.
Utajisikiaje unafika speed 180 umemaliza halafu kanatokea ka BMW 3Series ka mwaka 2006 kana kupita kakiwa speed 220? na bado speed inadai mpaka 260km/hr? Mbaya zaidi kana CC 2,000 [emoji16]
Mimi nikifikiria hilo bado mjerumani nampa heshima yake.
sisi walokole hatuwazagi sana kuhusu kutumia mafuta mengi kiasi gani,kwa sababu vya dunia vyote tutaviacha.,Jamani naomba msaada wenu kuhusu namna ya kubana matumizi ya mafuta niendeshapo gari dogo labda kama kuna namna flani a kukanyaga ile pedal ya mafuta. Safari zangu sio ndefu ni za kuzungumguka tu mjini. Je, ninapoendesha kwa kasi kisha nikaacha kukanyaga pedo ya mafuta gari ikawa inaserereka yenyewe, inaweza kusaidia?
unajua niko siriaz mkuusisi walokole hatuwazagi sana kuhusu kutumia mafuta mengi kiasi gani,kwa sababu vya dunia vyote tutaviacha.,
Ina cc ngapi? Fuel consumption yake ipoje
Binafsi niliamini hivyo kwa hiki chuma,niliiweka jamii moja na kina gx 100,mark x,brevis n.k,lakini naona miaka inaenda chuma kimesimama pale pale na bei aishuki,crown itakua ni kweli ndege ya chiniCrown sio Gari ya mpito kama unavyofikiria, Crown imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1959 na ni flagship of Toyota kwa Sedan cars, kule Japan inatumika sana kusafirishia viongozi wa serikali na hutumika kama patrol car kwa jeshi la polisi. Driving habits ndio inayoua watu usipofata sheria za barabarani na ushamba mwengine mwengine huko barabarani gari yoyote ile itakusababishia kifo. Sehem kubwa ya barabara za Tanzania sio salama sana kuendesha kwa over 150km/hr.
NB: Gari kama Crown comfortability yake na utulivu wake barabarani ata unapokuwa 180km/hr unajiona kama upo 80km/hr na hapo ndio tatizo linapoanzia
2900 cc. Mafuta kawaida kwa gari zinazokimbia sanaIna cc ngapi? Fuel consumption yake ipoje
Audi A4 ya mwaka gani na ulitumia muda gani kufikaSijasema Crown ni gari ya mpito!
Nimesema ni gari ambayo,unaweza kua upo na 160km/hr na wala usishangae! Ukipata changamoto kama hutapoteza maisha ndiyo utajua kumbe nilikua nakitafuta kifo!
Ni sawa na Audi A4,hua ni very comfortable and luxury! Nilishawahi toka na Audi A4 ya brother dar to Kahama,nilipofika Kahama,alitamani kunimeza,maana nilifika mapema sana,maana yake nilikua natembea balaa!
Kuna kitu kinakitwa HKS Speed Limit Defencer III ukiweka kwenye gari za Japan huo mshale unazidi hapo kwenye 180km/h kwaio spidi inafika hata 260 chamsingi uwe na matairi tu ya kuhumili hios speed..Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.
Hiyo gari huwa inagusa 180kmph at 5000rpm ukiwa 4th gear na inamaintain 180kmph at 4000rpm at 5th gear.
Kama barabara inaruhusu, ki VW cha cc1800 kitakuja kikufikie na kikupite huku wewe uko stuck at 180 na huna la kufanya.
Yana mwendo sawa, engine zake zina nguvu sana, zina acceleration ya ajabu, ila hazifui dafu mbele ya mzungu mwenye turbocharged 3000cc au zaidi.
View attachment 2183503
Gari ya cc 2000 natural aspirated haiwezi fika 260kph
Hio ni speed labda unaeza achieve na 1jz gte inayotoa 280hp
Kuna kitu kinakitwa HKS Speed Limit Defencer III ukiweka kwenye gari za Japan huo mshale unazidi hapo kwenye 180km/h kwaio spidi inafika hata 260 chamsingi uwe na matairi tu ya kuhumili hios speed..
Hivi unaelewa maana ya aftermarket parts? HKS wao wamespecialize ku tune gari JDM (Japanese Domestic Market) sheria ya JAMA hairuhusu gari ya JDM kuzidi 180KM/H kwaio hakuna gari inayotoka kiwandani kwa ajili ya JDM ikazidi Speed 180KM/H kwaio hapo ndo wanapoingia HKS speedometer inazidi na kufika huko kwenye hio 260km/h za huko ujerumani..hiki kifaa sio changu mimi mzee ni cha HKS..🤣🤣🤣🤣 inaonekana umemaindi kufahamishwa kwamba JDM zinatoboa zaidi ya 180KM/H...🤣🤣🤣 HKS Speed Limit Defencer haiwezi fungwa kwenye gari za kizungu(Audi, Golf GTI,BMW) ni za JDM tu...🤣🤣🤣🤣Kwa nini ukiweke wewe wakati watengenezaji hawakukiweka?
Gari za japan hata ukifika 120km /hr kanaanza kupepesuka.
Assume hicho kifaa chako nacho kifungwe kwenye VW GOLF au AUDI.
Zitafika speed gani?
Muangalie huyo GOLF GTI kieha niambie ana CC ngapi!
We jamaa haujielewi....kwan hicho kifaa nani kakwambia kinaongeza speed?? Hicho kinatoa speed limiter ya gari za JDMKwa nini ukiweke wewe wakati watengenezaji hawakukiweka?
Gari za japan hata ukifika 120km /hr kanaanza kupepesuka.
Assume hicho kifaa chako nacho kifungwe kwenye VW GOLF au AUDI.
Zitafika speed gani?
Hio sio max speed ni max speedo reading ...hio gari haifiki 280Was on Audi A4. 2.0 TFSI quattro max speed. 280 km/hr from Dar to Arusha
tena naenda Send off kuchukua mke wa Kimeru. Wakati naitafuta Same nacheza na 240 Km/ Hr it was like hell