Jamani dada yangu miss chagga

Jamani dada yangu miss chagga

yaan hata mimi nauliza mara kwa mara alienda wapi?
 
waulize mod wakuoe ID yake mpya

ila watu kama
mtambuzi arusha1 n.k watakua na info za wapi aliko
 
Miss chagga kapotea kabisa hapa jf mara ya mwisho alileta uzi mwaka jana miss chagga rudi ata kwa siku moja
Ukiona hivyo ujue uzee umemuingia tayari(jokes).! By the way mumewe alistukia ID yake akampiga marukufu kabisa.
 
Mbona yuko tu, sema alikuwa mnufaika wa......sasa jiwe kampotezea ramani
 
Usije kuta hayupo hata kwenye huu ulimwengu tena.
 
Hali ngumu jamani msituone humu muda wote mkafiri tunapenda.
 
Back
Top Bottom