Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Hivi choice fm bado wapo..... Nilishawasahau kbsNimeshalala huku nasikilza mziki mzur choice fm
Vepeeee
Wapo usiku wana miziki mizur balaaa nalala mujarabu
Aisee wameweka ngoma moja ya south Africa balaaaaa wanazingua kuna siku kimamtoni zaid kuna sku kama leo full kuchanganya na mabongoflevaNilikuwa nawapenda sana awali walikuwa na unyamwezi flani hivi muziki mwingi tena siyo bongofleva na maneno machache, baadae wakabadilika bwana muziki ukawa kachumbari yani fululufululu.... Nkaachana nao kbs.
Ngoja ni-tune niusikie huo muziki mzuri unaousikiliza ww Demiss
Aisee wameweka ngoma moja ya south Africa balaaaaa wanazingua kuna siku kimamtoni zaid kuna sku kama leo full kuchanganya na mabongofleva
But you know hatuna heshima kwa side bit*h , Main chick ndio habari ya mujini , huko kwingine tunasafisha macho tu at the end of the day marejeo nyumbani.Mimi bado binti mbichii bhn niolewe kuwa mother house nimekuwa mgogo side chick habar ya mjin
Au hamorapa
Yani siku hizi nasikiliza online radio au sometimes nasikiliza zile za dstv hasa 775Yan kuna siku wanapiga mziki mzur nachek 102.5 Dodoma mpaka sitaman kulala wakianza bongo fleva napunguz sauti nalala fofofooo
Mwenyewe najua bhasi..! Nipo nipo tu kama jeshi la wokovuKinapatikana sayar gani?
Oky mm nimeweka radio chumban unanitamanisha sasa niweke tv chumban na king'amuzi cha DSTV [emoji23][emoji23]
Nenda ukapewe mbunyee ya demiss,Maisha Ni yakipumbavu Sana !! Huwezi kuamini Mwisho wa Siku Demiss akawa Mwanaume !! Trust me [emoji701][emoji3596]