Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

We Sema hata ulie nae hakuridhishi angekuwa anakufikisha kilelen ungekuwa ushamfuata Sasa kwa kua anakupita juu juu kama njiwa unastahimili
 
Nilikuwa nawapenda sana awali walikuwa na unyamwezi flani hivi muziki mwingi tena siyo bongofleva na maneno machache, baadae wakabadilika bwana muziki ukawa kachumbari yani fululufululu.... Nkaachana nao kbs.

Ngoja ni-tune niusikie huo muziki mzuri unaousikiliza ww Demiss
Wapo usiku wana miziki mizur balaaa nalala mujarabu
 
Nilikuwa nawapenda sana awali walikuwa na unyamwezi flani hivi muziki mwingi tena siyo bongofleva na maneno machache, baadae wakabadilika bwana muziki ukawa kachumbari yani fululufululu.... Nkaachana nao kbs.

Ngoja ni-tune niusikie huo muziki mzuri unaousikiliza ww Demiss
Aisee wameweka ngoma moja ya south Africa balaaaaa wanazingua kuna siku kimamtoni zaid kuna sku kama leo full kuchanganya na mabongofleva
 
Mimi bado binti mbichii bhn niolewe kuwa mother house nimekuwa mgogo side chick habar ya mjin
But you know hatuna heshima kwa side bit*h , Main chick ndio habari ya mujini , huko kwingine tunasafisha macho tu at the end of the day marejeo nyumbani.
 
Yani siku hizi nasikiliza online radio au sometimes nasikiliza zile za dstv hasa 775
Oky mm nimeweka radio chumban unanitamanisha sasa niweke tv chumban na king'amuzi cha DSTV [emoji23][emoji23]
 
Unaeka tu halafu una-connect audio/video cable kwenye radio unakula sound Safi kabisa [emoji23]
Oky mm nimeweka radio chumban unanitamanisha sasa niweke tv chumban na king'amuzi cha DSTV [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom