Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

Jamani DEMISS nina rahaaaaaaaaa leoo!

Usilolijua sawa na usiku wa giza so wewe upo jf kufatilia mahusiano yetu jinsi gani ulivyo jaaa wivu sasa kwa taarifa yako mahaba yetu yapo nje sio hapa Jf unataka tukufurahishe wewe huwa unakuja kutusaidia kuninyegeshaaa
Sikufuatilii, jf ni open source. Nasoma nyuzi tofauti na majukwaa tofauti kwa habari na burudani na kujielimisha pia. Hii Nimesema tu kama comment zingine, usiichukulie seriuos kivile OTHERWISE inagonga penyewe.
 
Sjakuelewa unamaanisha nn wewe ndo haumsomi au wote wanajf mmekaa mkapata jibu hilo wewe umeliletaa funguka vizur ueleweke bi mdada????

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣vepeeeee leo kama huelewi basi pita.. sirudiagi nikiamua.. na sirudii.. muda muda

💉 kurushwa dampo nini au nyenyere vinasumbua?

Punguza maneno ya ajabu juu yako ukiwa kama kabinti.. labda uwe ulishavuka mipaka.
 
Sikufuatilii, jf ni open source. Nasoma nyuzi tofauti na majukwaa tofauti kwa habari na burudani na kujielimisha pia. Hii Nimesema tu kama comment zingine, usiichukulie seriuos kivile OTHERWISE inagonga penyewe.
Na mm nimekujibu kama inavyotakiwaa nduguu kama umemind pita hiviii
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣vepeeeee leo kama huelewi basi pita.. sirudiagi nikiamua.. na sirudii.. muda muda

[emoji382] kurushwa dampo nini au nyenyere vinasumbua?

Punguza maneno ya ajabu juu yako ukiwa kama kabinti.. labda uwe ulishavuka mipaka.
Unajichekesha vepeeew nimekuuliza ungenijibu kama nilivyokujibu wewe sasa hiyo kujishongodoa veeepe ?

Alafu mm bado binti mdogo kunizeesha huko vepeee ndo umri wangu huu unaniruhisuu bi mdashi nikizeeka nitakuja na vya uzeeeeee3
 
Demiss niambie uko wapi leo nashindwa hata kufanya kazi sasa kwaajili yako na nilivyo sijaitumia siku nyingi kuna visado viwili
Tatizo nina bwanaa sasa namtunzia yeye ataikuta
 
Back
Top Bottom