Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Thank you....bado asubuhi ndo maana...au pengine nimekuelewa zaidi ulichotaka..wareva:coffee:

Tupo ukurasa mmoja
 
Hii ni v ery pertinent na nadhani tuipeleke jukwaaa la sheria kama bado haijajadiliwa kwa sababu possibility hiyo ipo
 
Honey, usitoe siri za chumbani kwetu nisije nikabakwa mwenzio!
Gals, my Eiyer si mtamu wala nini...... (nampendea vinginee) (swee Eiyer, btn you and me, you know how unavyoniliza kwa utamu, sitaki watu wakutolee mimacho)
 
Last edited by a moderator:
Hii ni v ery pertinent na nadhani tuipeleke jukwaaa la sheria kama bado haijajadiliwa kwa sababu possibility hiyo ipo

hili thred mpaka hapa imesha nizalishia threads nyingine kama 10 hivi, ambazo we real need to go about them. sasa tuanze na hii kule kwenye jukwaa la sheria tuone mchnago wa wadau wa sheria.
 
Unajua Kaunga, unaweza mtukana kaka wa watu bure kuwa ana guitar dogo sana wala sauti haisikiki, kumbe wewe mwenyewe una ukumbi mkubwa sana wa maonesho lol

U mean mwenye shimo dogo asipambane na mwenye jiti kubwa! na mwenye shimo kubwa asipambane na mwenye kajiti kaduuchuu! Huu ni ukweli mwingine aisee.
 
Last edited by a moderator:
Unajua bibie gfsonwin, mie sina la kuchangia kwenye hii sredi ila tu nina tuswali kwako mama/dada:

Hii sredi umeirusha saa tatu kasorobo usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki:
Ulikuwa unawaza nini?
Ulikuwa unamuwaza nani?
Ulikuwa umeshakula?
Ulikuwa umeshika nini?
Ulikuwa unakumbuka nini?
Ulikuwa umemiss nini?

Ukishanijibu huto tuswali, uniambie...... kwanini?
 
Last edited by a moderator:
U mean mwenye shimo dogo asipambane na mwenye jiti kubwa! na mwenye shimo kubwa asipambane na mwenye kajiti kaduuchuu! Huu ni ukweli mwingine aisee.
Kaunga....... sijui kwanini mwanza ni mbali lol! pangekuwa ni hapo Moro ningekuzukia just to give you hi. but thumbs up to you ma dia.
 
Last edited by a moderator:
Unajua Kaunga, unaweza mtukana kaka wa watu bure kuwa ana guitar dogo sana wala sauti haisikiki, kumbe wewe mwenyewe una ukumbi mkubwa sana wa maonesho lol

U mean mwenye shimo dogo asipambane na mwenye jiti kubwa! na mwenye shimo kubwa asipambane na mwenye kajiti kaduuchuu! Huu ni ukweli mwingine aisee.
 
Last edited by a moderator:

If wishes were horses......
Bwana nina kila sababu ya kujidai kwenye dunia hii Kaizer what do you think of my brand new love? naona unaguna tu, say something basi!
 
Last edited by a moderator:
Hommie Kaizer usingechangia hii thread Gadafi angefufuka leo. Nadhani gfsonwin atakuwa amekuelewa. Labda kama ana maswali ya papo kwa papo kwa mheshimiwa waziri wa ngono.

Kwa mamlaka niliyopewa na Invizibo natangaza rasmi kuwa hii SREDI sasa ako KLOZD. Tuhamie jukwaa la wakubwa.

Afu mtu yueyote mwenye busara zake tafazali aniambie hivi leo ni jumangapi?
 
Last edited by a moderator:
Asprin sasa wewe unataka kuyajua hayo yote sasa nakupa majibu kama ifuatavyo:-
Ulikuwa unawaza nini?......... jibu - watu wanajua nini wanachokipata kwa wenzi wao?
Ulikuwa unamuwaza nani?........jibu- possibly wewe na Kongosho na Eiyer na Kaunga
Ulikuwa umeshakula?..........jibu - hapana but nilikuwa safarini
Ulikuwa umeshika nini?......jibu laptop
Ulikuwa unakumbuka nini?......jibu -barabara ya 12 mlikohamishia majesh wewe na Kongosho
Ulikuwa umemiss nini?........jibu---kumuona Eiyer na Kaunga lakin pia stori za barabara ya 12 toka kwa Kongosho manake nilijua ndio mida hii mnajiswafi mwende kunako 6*6.

unalo hilo babuuu weee! miye nimetangaza nia ila kwa ambaye hatanitenda awe na nidhamu kama eiyer na nafikir Kaizer waweza nisaidia manake nakuona unanidham au hunipend? jamani mwenzio mimi kwako roho dondoka kabisa.

hyu Asprin yeye nikiembe so nisaidie ma swtlo.............
 
Last edited by a moderator:
Unajua Kaunga, unaweza mtukana kaka wa watu bure kuwa ana guitar dogo sana wala sauti haisikiki, kumbe wewe mwenyewe una ukumbi mkubwa sana wa maonesho lol

Ndo ile wanasema unakuwa unamlaumu mtu "we mbona gitaa lako dogo" Ikisha naye anakujibu "sikujua kama nakuja kutumbuiza uwanja wa taifa"

So yest its true compatibility ni muhimu pia Kongosho
 
Last edited by a moderator:
If wishes were horses......
Bwana nina kila sababu ya kujidai kwenye dunia hii Kaizer what do you think of my brand new love? naona unaguna tu, say something basi!

You know I cant say it here Kaunga so please dont hook me up yet....hivi weekend hii si tutakuwa na maungamo ama ndo kwanza unajaribu 'dhambi' mpya?:coffee:
 
Last edited by a moderator:
:clap2::clap2::majani7::mwaaah::first:............................:A S 100:
 
Kaizer nimetuma maombi hapa jamani naomba uwe patna wangu jama unifanye nifikie orgasm. Naona huyu Asprin anaanza kukutia majungu eti oooh!...... waziri wa ngono.. lol! mbona yeye na Kongosho wake hatuwasemi ni maraisi wa ngono? please mimi sijali hayo tutaanzi nilipokukuta onwards. tell me ma honey. dont disappoint me.
 
Last edited by a moderator:

Asee Hommie Asprin leo ni Ijumaa bana...TGIF, na watu wote wasema AMEN!

Hommie, umesoma majibu ya gfsonwin apo juu? Usije kunilaumu sijakuwambia ijumaa yote hii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…