Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

Kaizer you have brain, na hii ndio tofauti ambayo toka mwanzo mimi nilitka niione. ukweli ni kwamba climax ya kibiolojia ni ile ile tofauti ni kwamba psch ya muhusika iliandaliwa vipi na ni njia gani iltumika kufikia. tofauti za kimaumbile na njia tumika ndizo zenye shida hapa but climax as climax is just the same. nakaribisha pia kukosolewa zaid

Thank you....bado asubuhi ndo maana...au pengine nimekuelewa zaidi ulichotaka..wareva:coffee:

Tupo ukurasa mmoja
 
halafu pia Kaizer kwenye swala la kubakwa labda ni mapungufu ya sheria husika but, kama mtu akiwa anabaka na wakati wa tendo akaanza kufurahia kwamba akanza na yeye kutoa manjojo like kukatika kuguna nk basi siyo kubawa tena. manake sheria inategemea kubakwa kuwa ni kwa maudhi na karaha na muda wote muhusika analia tu yaani asiridhike.

anyway siyo mtaalam sana a sheria ila duh! mimi hii silipend sana kwani sasa wanataka kutuambia kuwa kubakwa kama mtu anajua kukupa raha basi wewe hutoiskia wakati inategemeana tu na hali hali halis.

Hii ni v ery pertinent na nadhani tuipeleke jukwaaa la sheria kama bado haijajadiliwa kwa sababu possibility hiyo ipo
 
Kuna ukweli mkubwa,kuna wanawake wanajua kuutumia mwili wao inavyotakiwa.Sio unado na mtu amelala tu anakukodolea mimacho hata ile sauti ya raha wakati msumari unaingia hakuna.Wanawake wengine ni noma,yani unaweza kupiga hata bao 8!Utundu wake,msumari ukiingia namna anavyoubana wacha kabisa,yani unaweza uzungumze lugha usiyoijua.Hivi unafikiri kwanini nimefall kwa Kaunga?Yaani acha kabisa!Huyu mwanamke alifundwa bana. . . Ni mtam balaa. . Lol!

Honey, usitoe siri za chumbani kwetu nisije nikabakwa mwenzio!
Gals, my Eiyer si mtamu wala nini...... (nampendea vinginee) (swee Eiyer, btn you and me, you know how unavyoniliza kwa utamu, sitaki watu wakutolee mimacho)
 
Last edited by a moderator:
Hii ni v ery pertinent na nadhani tuipeleke jukwaaa la sheria kama bado haijajadiliwa kwa sababu possibility hiyo ipo

hili thred mpaka hapa imesha nizalishia threads nyingine kama 10 hivi, ambazo we real need to go about them. sasa tuanze na hii kule kwenye jukwaa la sheria tuone mchnago wa wadau wa sheria.
 
Unajua Kaunga, unaweza mtukana kaka wa watu bure kuwa ana guitar dogo sana wala sauti haisikiki, kumbe wewe mwenyewe una ukumbi mkubwa sana wa maonesho lol

U mean mwenye shimo dogo asipambane na mwenye jiti kubwa! na mwenye shimo kubwa asipambane na mwenye kajiti kaduuchuu! Huu ni ukweli mwingine aisee.
 
Last edited by a moderator:
Unajua bibie gfsonwin, mie sina la kuchangia kwenye hii sredi ila tu nina tuswali kwako mama/dada:

Hii sredi umeirusha saa tatu kasorobo usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki:
Ulikuwa unawaza nini?
Ulikuwa unamuwaza nani?
Ulikuwa umeshakula?
Ulikuwa umeshika nini?
Ulikuwa unakumbuka nini?
Ulikuwa umemiss nini?

Ukishanijibu huto tuswali, uniambie...... kwanini?
 
Last edited by a moderator:
U mean mwenye shimo dogo asipambane na mwenye jiti kubwa! na mwenye shimo kubwa asipambane na mwenye kajiti kaduuchuu! Huu ni ukweli mwingine aisee.
Kaunga....... sijui kwanini mwanza ni mbali lol! pangekuwa ni hapo Moro ningekuzukia just to give you hi. but thumbs up to you ma dia.
 
Last edited by a moderator:
Unajua Kaunga, unaweza mtukana kaka wa watu bure kuwa ana guitar dogo sana wala sauti haisikiki, kumbe wewe mwenyewe una ukumbi mkubwa sana wa maonesho lol

U mean mwenye shimo dogo asipambane na mwenye jiti kubwa! na mwenye shimo kubwa asipambane na mwenye kajiti kaduuchuu! Huu ni ukweli mwingine aisee.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga...........come and see this, my good lord!!!!!! you are the most luckiest women in this world dah! Eiyer i wish i knew you before her perhaps we would have made a couple. but real i know kaunga she is extremely good in whatever you can think and as i know you the infedelity blah blah are not your shit. so hope you do it good

If wishes were horses......
Bwana nina kila sababu ya kujidai kwenye dunia hii Kaizer what do you think of my brand new love? naona unaguna tu, say something basi!
 
Last edited by a moderator:
Well Kwa maneno mengine, unataka kuhypothesise kwamba pleasure derived from climax is the same, regardless ya mtu aliyekufikisha huko." so hata kama umepata climax kwa kubakwa, inatakiwa kuwa sawa na climax unayofikia kupitia kwa umpendaye..wareva

If we take up that, then hapa tutofautishe orgasm kwa maana yake ya kibiolojia.....I mean the physical act na all other ingredients ambazo pia ziko hypothesised kuwa muhimu kuachieve orgasm kama vile intumacy na vyote alivosema The Boss, Au kama alivosema habari ya kupendana kama Kaunga.

Kwangu mimi naona as long as you are biologically ready to have sex, then its possible to have an orgasm. Na theoretically it should be he same throughout.

Dhana ya utamu inayoongelewa hapa, sioule wa kibayolojia, nadhani ni wa kisaikolojia zaidi ambao sasa unachangiwa na vitu viiiiiiiiiiiiiiingi sana....kuanzia your feeelings kwa huyo mtu, mazingira, mwonekano, kalufundi kalikotumika, handling, hali ya afya zenu, nk.
Hommie Kaizer usingechangia hii thread Gadafi angefufuka leo. Nadhani gfsonwin atakuwa amekuelewa. Labda kama ana maswali ya papo kwa papo kwa mheshimiwa waziri wa ngono.

Kwa mamlaka niliyopewa na Invizibo natangaza rasmi kuwa hii SREDI sasa ako KLOZD. Tuhamie jukwaa la wakubwa.

Afu mtu yueyote mwenye busara zake tafazali aniambie hivi leo ni jumangapi?
 
Last edited by a moderator:
Unajua bibie gfsonwin, mie sina la kuchangia kwenye hii sredi ila tu nina tuswali kwako mama/dada:

Hii sredi umeirusha saa tatu kasorobo usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki:
Ulikuwa unawaza nini?
Ulikuwa unamuwaza nani?
Ulikuwa umeshakula?
Ulikuwa umeshika nini?
Ulikuwa unakumbuka nini?
Ulikuwa umemiss nini?

Ukishanijibu huto tuswali, uniambie...... kwanini?
Asprin sasa wewe unataka kuyajua hayo yote sasa nakupa majibu kama ifuatavyo:-
Ulikuwa unawaza nini?......... jibu - watu wanajua nini wanachokipata kwa wenzi wao?
Ulikuwa unamuwaza nani?........jibu- possibly wewe na Kongosho na Eiyer na Kaunga
Ulikuwa umeshakula?..........jibu - hapana but nilikuwa safarini
Ulikuwa umeshika nini?......jibu laptop
Ulikuwa unakumbuka nini?......jibu -barabara ya 12 mlikohamishia majesh wewe na Kongosho
Ulikuwa umemiss nini?........jibu---kumuona Eiyer na Kaunga lakin pia stori za barabara ya 12 toka kwa Kongosho manake nilijua ndio mida hii mnajiswafi mwende kunako 6*6.

unalo hilo babuuu weee! miye nimetangaza nia ila kwa ambaye hatanitenda awe na nidhamu kama eiyer na nafikir Kaizer waweza nisaidia manake nakuona unanidham au hunipend? jamani mwenzio mimi kwako roho dondoka kabisa.

hyu Asprin yeye nikiembe so nisaidie ma swtlo.............
 
Last edited by a moderator:
Unajua Kaunga, unaweza mtukana kaka wa watu bure kuwa ana guitar dogo sana wala sauti haisikiki, kumbe wewe mwenyewe una ukumbi mkubwa sana wa maonesho lol

Ndo ile wanasema unakuwa unamlaumu mtu "we mbona gitaa lako dogo" Ikisha naye anakujibu "sikujua kama nakuja kutumbuiza uwanja wa taifa"

So yest its true compatibility ni muhimu pia Kongosho
 
Last edited by a moderator:
If wishes were horses......
Bwana nina kila sababu ya kujidai kwenye dunia hii Kaizer what do you think of my brand new love? naona unaguna tu, say something basi!

You know I cant say it here Kaunga so please dont hook me up yet....hivi weekend hii si tutakuwa na maungamo ama ndo kwanza unajaribu 'dhambi' mpya?:coffee:
 
Last edited by a moderator:
Asprin sasa wewe unataka kuyajua hayo yote sasa nakupa majibu kama ifuatavyo:-
Ulikuwa unawaza nini?......... jibu - watu wanajua nini wanachokipata kwa wenzi wao?
Ulikuwa unamuwaza nani?........jibu- possibly wewe na Kongosho na Eiyer na Kaunga
Ulikuwa umeshakula?..........jibu - hapana but nilikuwa safarini
Ulikuwa umeshika nini?......jibu laptop
Ulikuwa unakumbuka nini?......jibu -barabara ya 12 mlikohamishia majesh wewe na Kongosho
Ulikuwa umemiss nini?........jibu---kumuona Eiyer na Kaunga lakin pia stori za barabara ya 12 toka kwa Kongosho manake nilijua ndio mida hii mnajiswafi mwende kunako 6*6.

unalo hilo babuuu weee! miye nimetangaza nia ila kwa ambaye hatanitenda awe na nidhamu kama eiyer na nafikir Kaizer waweza nisaidia manake nakuona unanidham au hunipend? jamani mwenzio mimi kwako roho dondoka kabisa.

hyu Asprin yeye nikiembe so nisaidie ma swtlo.............
:clap2::clap2::majani7::mwaaah::first:............................:A S 100:
 
Hommie Kaizer usingechangia hii thread Gadafi angefufuka leo. Nadhani gfsonwin atakuwa amekuelewa. Labda kama ana maswali ya papo kwa papo kwa mheshimiwa waziri wa ngono.

Kwa mamlaka niliyopewa na Invizibo natangaza rasmi kuwa hii SREDI sasa ako KLOZD. Tuhamie jukwaa la wakubwa.

Afu mtu yueyote mwenye busara zake tafazali aniambie hivi leo ni jumangapi?
Kaizer nimetuma maombi hapa jamani naomba uwe patna wangu jama unifanye nifikie orgasm. Naona huyu Asprin anaanza kukutia majungu eti oooh!...... waziri wa ngono.. lol! mbona yeye na Kongosho wake hatuwasemi ni maraisi wa ngono? please mimi sijali hayo tutaanzi nilipokukuta onwards. tell me ma honey. dont disappoint me.
 
Last edited by a moderator:
Hommie Kaizer usingechangia hii thread Gadafi angefufuka leo. Nadhani gfsonwin atakuwa amekuelewa. Labda kama ana maswali ya papo kwa papo kwa mheshimiwa waziri wa ngono.

Kwa mamlaka niliyopewa na Invizibo natangaza rasmi kuwa hii SREDI sasa ako KLOZD. Tuhamie jukwaa la wakubwa.

Afu mtu yueyote mwenye busara zake tafazali aniambie hivi leo ni jumangapi?

Asee Hommie Asprin leo ni Ijumaa bana...TGIF, na watu wote wasema AMEN!

Hommie, umesoma majibu ya gfsonwin apo juu? Usije kunilaumu sijakuwambia ijumaa yote hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom