Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Bia ndo kila kitu...
Wapenzi wa jukwaa hili,
Ebu tuambizane ukweli, hivi kuna jambo lolote linaloweza kuburudisha mwili na roho ya mtu 'mzima' zaidi ya ngono? Tusifikirie mambo ya kubakana au ngono ya biashara. Tufikirie ngono ya wapendanao. Wataalam wanatuambia kwamba ngono ikifanywa na watu muafaka, mahali muafaka na muda muafaka, inajenga afya ya mwili na akili.

mi mtu akitakka kuniburudisha anipe pesa tu na si ngonoooooooooo
Bia ndo kila kitu...
nimeipeenda hiyo mkuuuBia ndo kila kitu...