Mtoto mzuri
Member
- Jan 21, 2011
- 34
- 0
Wapenzi wa jukwaa hili,
Ebu tuambizane ukweli, hivi kuna jambo lolote linaloweza kuburudisha mwili na roho ya mtu 'mzima' zaidi ya ngono? Tusifikirie mambo ya kubakana au ngono ya biashara. Tufikirie ngono ya wapendanao. Wataalam wanatuambia kwamba ngono ikifanywa na watu muafaka, mahali muafaka na muda muafaka, inajenga afya ya mwili na akili.
Kila kitu ni priority.....kama umepriotize ngono ndo itakuwa kuzuri...ila kila mtu ana his/her likes