klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mmmmmh mchungaji mwenyewe ndo wewe?? Anyway hebu ngoja nisiseme sana manake wakati huwa unaamua mambo.
ATM ikoje???
natumia jackdanielllllllll kama mizinga miwili hivi nikiwa na ka VISA card inayosoma vyema akkkkh mambo mpango mzima ni kukata hadi mitatu kisha naeleke savanna benja tower
ndo mjue mpango mzima ni mshiko tu endmoth............oye oye:A S 112:
hela ya sadaka itasaidia. naomba waumini wa kike mkuje kwa wingi. atakaepata habari hizi amtaarifu na mwenziwe.
Duh!arsenal ikishinda ni zaidi ya yote kwangu:wink2::hand:
Wapenzi wa jukwaa hili,
Ebu tuambizane ukweli, hivi kuna jambo lolote linaloweza kuburudisha mwili na roho ya mtu 'mzima' zaidi ya ngono? Tusifikirie mambo ya kubakana au ngono ya biashara. Tufikirie ngono ya wapendanao. Wataalam wanatuambia kwamba ngono ikifanywa na watu muafaka, mahali muafaka na muda muafaka, inajenga afya ya mwili na akili.
Miye nakubaliana nawe. Ukijua namna ya kufanya mapenzi na kuwa na mtu ambaye pia anajua namna ya kufanya mapenzi basi hakuna kitu duniani chenye maraha kama kufanya mapenzi. Kwangu miye cha pili ni kuruka majoka na cha tatu na kucheza mpira/soka na cha nne kuangalia mpira hasa pale ambapo mechi inakuwa na ushindani wa hali ya juu tangu mwanzo hadi mwisho. Siku zote sikubaliani na watu wanaosema, "Love making is overrated"
YouTube - Sexual Healing
Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage.