jamani eeeeeeeeeee NIMECHOKA KUKOPWA....!

jamani eeeeeeeeeee NIMECHOKA KUKOPWA....!

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,712
natafuta mnunuzi wa jumla wa bidhaa yangu jamani,sitaki kuamini itabaki imedoda:dance::dance::biggrin1:
 
Umechoka kukopwa au umechoka kukodishwa???Nwy punguza bei alafu ongeza ubora uone wateja watakavyoigombania!
 
Umechoka kukopwa au umechoka kukodishwa???Nwy punguza bei alafu ongeza ubora uone wateja watakavyoigombania!

embu nipe maujuzi hapo nilipobold lizzy,mwaka huu na mie nataka niuze jumla lol😛ound::tonguez:
 
embu nipe maujuzi hapo nilipobold lizzy,mwaka huu na mie nataka niuze jumla lol😛ound::tonguez:

Via mobile soini bold....nifunguemacho nikupe maujanja yani hata ikibidi mchina ahusike!!
 
Kama wamekopa maana yake wanacho na hawajalipia.....sema wamekodisha
wangapi!??
Dearest,mi ningependa kujua wangapi wameshakodisha hapo? manake mi wamekodisha zaidi ya 50.... na sina regrets.:smow:
 
natafuta mnunuzi wa jumla wa bidhaa yangu jamani,sitaki kuamini itabaki imedoda:dance::dance::biggrin1:

Wakopaji walikuwa wanakula kwa kijiko au mikono bila kunawa????
 
Saaly wala usiwe na hofu, jitunze na endelea kumuomba Mungu,wakati ukifika atakuwa mnunuzi wa daima. Jifunze kutokana na yalipota na endelea kujipenda na kujitunza....ipo siku utajibiwa sala zako.....Mungu hawahi wala hachelewi. Usiharakishe ukatumbukia kwa vimeo,kuwa na subira na take your time,life is short by the way!!!:A S-rose:
 
Dearest,mi ningependa kujua wangapi wameshakodisha hapo? manake mi wamekodisha zaidi ya 50.... na sina regrets.:smow:
Hahahh dearest huna mpango wa kuuza jumla???Mi bado nahesabu....
 
Watafute majembe wakusaidie kupiga mnada bidhaa yako.
 
Mie kijijini kwangu, msichana kama haolewi basi anahamia eneo lingine ng'ambo ya pili ya mto, hatachukua muda, jamaa wanatangaza nia!
Hata kama hatapata wa jumla huko, akirudi nyumbani baada ya miezi 6 tayari anaonekana mpya....wanachukua ni fasta!

Ushauri:...
Hapo kwenu washakujua kuwa unakopesha mno.
Hamia ugenini au mji mpya(kwa dada mkubwa, binamu etc), ubadili tabia yako na kuwa geti kali, hutacheleweshwa!
 
Hahahh dearest huna mpango wa kuuza jumla???Mi bado nahesabu....

duh,mpango ninao though sidhani kama ni priority.....mi ntaka kununua dearest,sitaki kununuliwa....hata mi bado nahesabu,na u sweet 16 wangu bado mchanga kabisa....l.o.l
 
duh,mpango ninao though sidhani kama ni priority.....mi ntaka kununua dearest,sitaki kununuliwa....hata mi bado nahesabu,na u sweet 16 wangu bado mchanga kabisa....l.o.l
Hahahha umenifurahisha kweli dearest!Sasa inabidi
wakati tunaendelea kuhesabu tuchange ili muda ukifika tununue bidhaa za uhakika!!!
 
Hivi kwa nini sifurahie maisha tu? kwani lazima uishi na hawa watu? mbona unaweza ishi hata mwenyewe tu bila hao watu? we endelea ku enjoy maisha huko mbeleni utakutana na wandani wako
 
Back
Top Bottom