Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Sasa wewe uliwezaje kumnunulia ki C5 yeye mwenyewe ashindwe kujinunulia au wenzako washindwe kumnunulia C8?

Fikiri kabla hujajibu.
hapa mimi sihitaji kufikiria sana.. ninachowaomba ni nyie mpige kura tuu
 
Wanasema pesa Shetani, cha ajabu sasa mbona anafichwa mfukoni? huyo mtu wake hawajaachana acha kuzungushwa. huhitaji nguvu nyingi kuendelea kufikiria, bado thamani yako anailinganisha na mshkaji
 
Unataka na kujinyonga tena? Haya mi nitapiga kura ya ujinyonge au usijinyonge. Nasubiri hiyo option.
 
jamani mbona hampigi kura zaidi ya kuleta blah blah mingi
 
naona hamtaki kupiga kura sasa naanza kuhesabu zile post zenye mrengo wa KUACHA au NISIACHE
 
aiseee imeshafika half time naona bado hamjaanza kupiga kura zaid ya blah blah mingi..
sasa hizi dk 45 za kipindi cha pili naomba mkitendee vyema.
maana kupiga kura ni HAKI YENU kikatiba
 
mimi siyo wa Dar ndo mana nmekuja kigumu gumu na kuwapa option mbili kuliko kuanza kulia lia kama waleee
 
Kusaidiwa huwa hakukwepeki!, akiamua kukuweka wazi ukajua wanaomsaidiaa mbona utapasuka. Wanawake hujawajua hadi leo, waswahili wasema 1. "Mpenzi wako wa zamani ndio mpenzi mpya wa mwenzako" 2. "Ukipata chungu kipya usije ukatupa chazamani maana kinaweza kikageuka LULU kwa nyakati zingine". Mpenzi wako ametumia sentensi mojawapo kati ya hizo, nakushauri ukikuta mwanamke kakukwaza kwa namna yeyote ile; usikasilike kiasi hicho maana utaonekana mjinga na mpumbavu kiasi kikubwa. Muite mwambie muwekane wazi kwa kila kitu maana mnatarajia kufungua kampuni yenu ya ndoaXX and Co.Ltd
 
Pole bro, nipe namba ya shem nimuulize jambo, huenda akafunguka niweze kukusaidia. Pole sana.
 
jamani eeeh! zimebaki dk 45 kufunga mjadala na kuanza kuhesabu kura.
embu naomba jitokeze 1 tu apige kura nihitimishe kwa kura hyo hyo moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…