Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huku kwetu vifaa vya kupigia kura havijafika mpaka sasa. Na jina langu silioni, wakati nilijiandikisha.
Umeonaeee tatizo kashindwa kumuhudumia mwenzie kapata service provider halafu anakuja kulia lia hapa amuache aperuzi mtoto wa watu anataka atumie six button mpaka liniMmmmmmh!!! Wanaume wa Dar mnaanza kutudhalilisha wanaume wote sasa!!.....Yeye alikuambia kuwa mnunulie simu umeshindwa, sasa amestrugle amenunua simu halafu unaleta nongwa!!
waiii, mademu wenyewe mmejaa wengi hivyo.. nkujichagulia tuu, kama uko mtumbani(karume)Umeonaeee tatizo kashindwa kumuhudumia mwenzie kapata service provider halafu anakuja kulia lia hapa amuache aperuzi mtoto wa watu anataka atumie six button mpaka lini
MuacheNina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya niandike uzi huu mufa huu nikiwa na ghadhabu na huku nikiwa naomba ushauri pia.
Ishu yenyewe iko hivi:
Baada ya kuwa naye nikagundua kuwa bado ana mawasiliano na Ex boyfriend wake wake. Na nilipomuuliza akaniambia kuwa bado wanawasiliana ila walishaachana tokea kitambo na huyo jamaa kwanza kashaoa.
Akadai kuwa kama simuamuni basi anaweza pia akanikutanisha naye ilinidhibitishe.Mimi nkamwambia haina haja yakunikutanisha naye coz ninakuamini na hiyo siku tulivyokutana jamaa alikuwa ana simu ya tekno c8(hiyo ilikuwa ktk kumdadisi huyo jamaa) basi baada ya hapo maisha yakaendelea kama kawaida.
Kuna simu huyu mpenzi wangu akaniambia kuwa anatamani kuwa sana kutumia tekno c8 mimi nikamwambia kuwa nikiwa fresh basi nitakununulia.. huku yeye kwa wakati huo anatumia tekno s5.
Basi siku zikaenda weee,ila hivi juzi juzi tukiwa tumepanga kukutana basi demu akawa anakuja na simu yake ndogo ila nikimuuliza anasema iko kwenye charge wakati unakuta muda huo huo nimetoka kuchat naye whatsApp,
hilo mimi wala sikulitilia shaka.
Sasa wakati huu nmetoka kuonana naye hapa akaja na simu yake kubwa hivyo nkamuomba niingie mara moja LiveScore niangalia mechi za UEFA zinaanza muda gani. Mara heeeee! nashangaa anatumia Tecno c8 pale pale nkashtuka sana na kumwambia hii simu umeipata wapi na mbona hujaniambia kuwa unayo? Akasema alisahau kunijulisha.
Sasa nmevuta picha weee nimeona hapa huenda yule Ex wake ndo atakuwa amempa hivyo nmejawa na hasira hapaaa mpaka nataka kupasuka maana nikiunganisha matukio naona kabisa kama huenda hii simu atakuwa amehongwa na huyo Ex wake.
Wadau naombeni ushauri wa chapu chapu ili nichukue hatua ya haraka sana kwa huyu girlfriend wangu.
Sasa napiga kura wanaosema nimuache waseme MUACHE na waosema niendelee waseme USIMUACHE.
Ntahesabu kura zenu wadau na wataocomment kwa wingi ndo ushauri nitakaochukua huo huo.
Sorry kwa uandishi mbovu coz nimeandika hapa nikiwa na jazba balaaaa.
Umejilipua, umejitoa muhanga.... Maamuzi magunu eti, wewe hukumpenda huyo bintinmemuacha tokea kitambo tuu
Menopause inamsumbuwa.faiza foxy kukosea yeye siyo tatizo, ila tatizo ni ukosee wewe unane jinsi anavyokukosoà chap..
Hyo app hamna chochote kile ila ni mzushi tu.habari kaka, pole kwa majanga nami yamenikuta japo ni makubwa je umefanikiwa kusanikisha hiyo app?? je inafanya kazi au vp , ni free au ya kulipia ???!!! 0753064252 naomba unitext hapo maana mara nyingi cko online