Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi safi safi safi....mla nawe hafi nawehaya nmeshamuachia huyo mjanjaa apokee kijiti, mimi nmeshajiweka pembeni
Kana Mura wee Ni Fara eti kujinyonga , pimbi wee ujinyonge kisa demu Kwan Dunia nzima yupo peke yake afu Demu lenyewe Malaya hvo .aiseeee pigeni kura faster faster kabla sijachukua maamuzi ya kujinyonga
Nimereply kulingana ulivoandika. Wee Endelea kutumika na muda sio Demu ataongwa Gari na hyo Njemba ndo Utajichoma Visu Tumboni kama wenzako Isitoshe wee bado Mwanafunzi ndo mnakuwanga na Mada za hv.elewa content ya thread kwanza kabla haujaanza kuharisha
[emoji15] we mwanaume wa Dar nini...Nimereply kulingana ulivoandika. Wee Endelea kutumika na muda sio Demu ataongwa Gari na hyo Njemba ndo Utajichoma Visu Tumboni kama wenzako Isitoshe wee bado Mwanafunzi ndo mnakuwanga na Mada za hv.
Umekariri wote humu Ni wa Dar sio ? Acha mambo yako ya Kuwa mjinga kwenye Mapenzi utapata ngoma hv na Hilo demu (Ligaikoro rya maigaikoro) lako ndo litakuletea kutoka kwa Ex boys wake. SOMA SANA AU TAFUTA PESA SANA.[emoji15] we mwanaume wa Dar nini...
tayari kura zimeshapigwa na hitimisho limeshapatikana tokea leo saa 00:00 sasa unaanza kutokwa na mapovu ya nini tena?
hilo nalitambua, ndo mana nmeamua kumpiga chini na kuendelea na mambo yangu ya msingiUmekariri wote humu Ni wa Dar sio ? Acha mambo yako ya Kuwa mjinga kwenye Mapenzi utapata ngoma hv na Hilo demu (Ligaikoro rya maigaikoro) lako ndo litakuletea kutoka kwa Ex boys wake. SOMA SANA AU TAFUTA PESA SANA.
Hongera Sana Tata Mura kana sasa Ndo umekua mwanaume.hilo nalitambua, ndo mana nmeamua kumpiga chini na kuendelea na mambo yangu ya msingi