Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Kosa ni la kwako wewe ulipoombwa kwanini hukumnunulia? Kamnunulia mjanja hivyo piga kimya
 
Babu jinga, mali zako zinaliwa, mali zako zinaliwa!
 
aiseeee pigeni kura faster faster kabla sijachukua maamuzi ya kujinyonga
Kana Mura wee Ni Fara eti kujinyonga , pimbi wee ujinyonge kisa demu Kwan Dunia nzima yupo peke yake afu Demu lenyewe Malaya hvo .
 
elewa content ya thread kwanza kabla haujaanza kuharisha
 
Nimereply kulingana ulivoandika. Wee Endelea kutumika na muda sio Demu ataongwa Gari na hyo Njemba ndo Utajichoma Visu Tumboni kama wenzako Isitoshe wee bado Mwanafunzi ndo mnakuwanga na Mada za hv.
 
Jonax dont make decisions when you are mad at somebody, sometime hisia za mapenzi huwa uzidi akili, na hisia zikizidi akili hakuna zuri utakalo lijenga,lifanyie kazi wakati umetulia na huna jaziba.
 
Nimereply kulingana ulivoandika. Wee Endelea kutumika na muda sio Demu ataongwa Gari na hyo Njemba ndo Utajichoma Visu Tumboni kama wenzako Isitoshe wee bado Mwanafunzi ndo mnakuwanga na Mada za hv.
[emoji15] we mwanaume wa Dar nini...
tayari kura zimeshapigwa na hitimisho limeshapatikana tokea leo saa 00:00 sasa unaanza kutokwa na mapovu ya nini tena?
 
Mkune vizuri...KUla vyakula vya asili....Tumia muda wako vizuri hasa kwenye mambo ya maendeleo...na mwisho utapata MKE.......
 
[emoji15] we mwanaume wa Dar nini...
tayari kura zimeshapigwa na hitimisho limeshapatikana tokea leo saa 00:00 sasa unaanza kutokwa na mapovu ya nini tena?
Umekariri wote humu Ni wa Dar sio ? Acha mambo yako ya Kuwa mjinga kwenye Mapenzi utapata ngoma hv na Hilo demu (Ligaikoro rya maigaikoro) lako ndo litakuletea kutoka kwa Ex boys wake. SOMA SANA AU TAFUTA PESA SANA.
 
hilo nalitambua, ndo mana nmeamua kumpiga chini na kuendelea na mambo yangu ya msingi
 
Back
Top Bottom