Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangunikishika ujauzito itakuwaje.
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.
FL1 hujamuelewa,mmh unaogopa mimba na uko kwenye ndoa?kwani ndoa yenu mmekubaliana msipate mtoto?kaisiki mbona kama mme si wako unakwiba mme wa mwenzio au inakuwaje teteteh hapo kama sio basi mwache ajipatie haki yake akichoka ataacha
Jamani embu nisaidieni wana JF
Jamani embu nisaidieni wana JF