Jamani embu nisaidieni wana JF

Jamani embu nisaidieni wana JF

Kaisiki

Member
Joined
Mar 12, 2010
Posts
23
Reaction score
0
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.
 
labda ana kiu sana mwachie afanye weeeeeee hamu ikipungua labda atapunguza spidi
pole mweeeh!!
 
Kama mna mwaka sasa, basi hana muda mrefu, atapunguza weee, hadi utamuuliza kuwa.."baba nanihino, siku hizi kunani"!
Maji ya moto hayo Kaisiki, yatapoa!...Huu ni uzoefu mamaake, mpe tu saa hizi, afanye hadi tani yake!
 
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.

mimi hapo kwenye blue mpaka dakika hii sijakuelewa, na pia labda niulize, maana ya ndoa ni nini? kwa nini mlioana?
 
KAISIKI OGUMILE BOJO.POLE SANA MPENDWA MAKE HIYO SA IMEKUWA KAMA ADHABU KWAKO, YAANI MPAKA UNAKANDA NA MAJI duh,pole but jaribu kumueleza kwa upole apunguze hiyo dozi.
 
Huyo afadhali mimi napiga 3 times a day siku za weekend na siku za kawaida basi nina skip ile ya lunch time ndo ajira hiyo mama gangamala fanya mazoezi ya riadha yanasaidia kukuweka flexible na kufanya moyo wako kuadopt shughuli hiyo pevu msukumo wa damu takuwa sawia kabisa na wala hutasikia uchovu
 
mmh unaogopa mimba na uko kwenye ndoa?kwani ndoa yenu mmekubaliana msipate mtoto?kaisiki mbona kama mme si wako unakwiba mme wa mwenzio au inakuwaje teteteh hapo kama sio basi mwache ajipatie haki yake akichoka ataacha
 
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangunikishika ujauzito itakuwaje.

haya tena makubwa!! wengine wanalalamika hawapati wengine wanalalamika imezidi!!! kweli hakuna kati na kati!!
ila hapo kwenye kukinai ndio palipo na tatizo, usielekeze mawazo yako kwenye kukinai jiweke kwamba ni kawaida nawe unahitaji wala hutoona hayo maumivu, pia jitumie bibie ukimkinaishe nayeye inawezekana ww unawaza atamaliza saa ngapi umeegesha tu, ndio hapo unaishia maumivu!
hapo kwenye ujauzito ndio sijaelewa kabisaaa, kwani ujauzito unazuia...
 
Duh! Huyo jamaa ana nguvu kama fisimaji. Pole sana mamaa. Ndo ndoa hiyo.
 
Preta

Mimi nimekosa cha kuchangia hapa nikasema niweke kitu roho yangu inapenda bana. Huu mgongo ni balaa jamani na nywele hizo ndo kabisaa. Preta salute Mama
 
Tena ushukuru Mungu kuwa unapewa penzi hilo. Kama asingekuwa anakupa hiyo dozi saa hizi uko Bwagamoyo kwa babu eti mume wangu hanigusi mpaka sikukuuu. Kumbuka chakula kitamu huliwa kwa hamu. Kuna kitu amekikuta humo na ndio maana hakuachii muda. Endelea kumpa ushirikiano na usimpe nafasi ya kukinai. Ushirikiano ni muhimu zaidi usiache mechi upande mmoja.
 
Preta

Mimi nimekosa cha kuchangia hapa nikasema niweke kitu roho yangu inapenda bana. Huu mgongo ni balaa jamani na nywele hizo ndo kabisaa. Preta salute Mama

karibu nyumbani
 
Mama, shukuru umempata huyo mume, wengine wanalalamika kukosa hiyo kitu.
Mpatie mpaka atachoka na ataanza mwenyewe kulala mzungu wa NNE
 
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.

post ijayo chunga sana spelling,wataalamu wanasemaga spelling ni kipimo cha uelewa.
kwenye mada: sasa wewe ulizani umeolewa ukatizamwe tu?heheeheh , huyo kijana anaiwakilisha jinsia ya kiume kama inavyotakiwa, Mungu ampe umri mrefu (tusemeni ameen)
 
mmh unaogopa mimba na uko kwenye ndoa?kwani ndoa yenu mmekubaliana msipate mtoto?kaisiki mbona kama mme si wako unakwiba mme wa mwenzio au inakuwaje teteteh hapo kama sio basi mwache ajipatie haki yake akichoka ataacha
FL1 hujamuelewa,
anaogopa akipata mimba je mambo yatakuwaje!?? kama siku zake tu mwenyewe anahesabiwa..lol!!!
 
Ndoa ndoano mama....gangamala tu utayazoea...ndio majukumu menyewe hayo ya ndoa, kwani ulikuwa unafikiria vinginevyo?
 
Duh! huyo jamaa kama namwona vile... Ubora wa chumba aujua mtumiaji mamaa Kaisiki... Usikubali ligwaride likushinde hilo.... Gangamala nalo mpaka kieleweke....
 
icon4.png
Jamani embu nisaidieni wana JF
 
Duh! Wewe unalalamika wakati wenzio huko nje wanalalamika watampata lini mkandamizaji machine namna hiyo? Khaaaaaaaa....!!!
 
Back
Top Bottom