Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Sio KweliNdio ni kweli
Ni kweliSio Kweli
🤣🤣🤣🤣 ndo agano lenyewe analo zungumzia mtoa madaWats the point ya kusherekea safari ya kukikaribia kifo?
Ni ujinga na kupoteza muda na resources.🤣🤣🤣🤣 ndo agano lenyewe analo zungumzia mtoa mada
NakaziaNi ujinga na kupoteza muda na resources.
Kwanin uhangaike sijui kufanya masherehe?
Pika wali mkubwa, kaa na mwanao, mwambie tu ukweli kua sasa ameanza kukua so apunguze mambo ya kijinga.
Atakuheshim zaidi kuliko kuanza kuwasha mamishumaa ya kiwaki.
Haya malezi ya kizungu ndo yanaleta watoto walaini laini.
Zamani birthday ilikua jando au unyago. Na inakua na maana muhimu sana kwenye maisha ya mtoto.
Tuache ku-copy mambo ya kizungu