Jamani Gonorrhoea linanitafuna

Umevuna ulichopanda! Furuahia mavuno hayoo! Khaa! Uliambiwa ukivumilia hizo siku mkeo hayupo hilo lidushe lingekatika??mfyuuu! Mwambie mkeo samahani mke wangu nilichepuka nimeathirika nipo kwe dozi usikilizie maumivu yake! Katubu hukoo!
Kawaida ukichepuka basi na mwenzi wako anachepuka. Nadhani hata mkewe atakuwa na hilo gono. Hivyo ajiandae naye kulea mgonjwa
 
Hahahahahha
 
Mdanganye mkeo ulikuwa unaumwa,mpigie simu kabla hajafika.Ili akifika akute upo kwenye dozi.
Hatari ni kwamba huko aliko mkeo,naye atafanywa hivyo hivyo ulivomfanyia,yeye atakuja na kaswende.Huo mchanganyiko sipati picha
 
Tafadhari kama ushaanza dozi usikatize ni hatari kwa afya!
Chamsingi endelea na dozi ikidunda jaribu nyingine wanazo kushauri hapa.
Kuepuka kustukiwa na mkeo, kanunue dozi ya maralia kama ARU au quinine zuga kwa kudondosha daily hadi utakapopona!
 
Nenda kachome sindano ndani ya masaa 8 imeshakauka...
 
choma ceftriaxone inj. 500mg IM stat pamoja na vidonge vya doxycycline 100mg bd x 7 utapona fasta ndani ya masaa machache. Hivyo vidonge vya doxycycline vinaenda sambamba katika kutibu kasendwe
 
Swadakta muzewe.Kazi tu
 
Usiogope mkuu, usije kuta na mkeo anarudi na kaswende... Ngoma ikawa droo. Aisee wewe ni jasiri saana.
 
Haya yapo tu ilimradi huwa inasimama, wengine wanacheka na kudhihaki si ajabu kesho Kutwa ikampata na yeye anaanza kuulizia msaada, lets be serious to our fellows who bring here their claims requesting for help, you never know may be you are the next, gonorrhoea is a serious infection which may drive ba person into deep sorrow, stress and confusion since it may be accompanied with other STDs
 
Saguda47 nimekukubali plz niibox ur number plz
 
Pole weeeeeeeeee next time be more careful.....sh*t happens [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…