kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
Kawaida ukichepuka basi na mwenzi wako anachepuka. Nadhani hata mkewe atakuwa na hilo gono. Hivyo ajiandae naye kulea mgonjwaUmevuna ulichopanda! Furuahia mavuno hayoo! Khaa! Uliambiwa ukivumilia hizo siku mkeo hayupo hilo lidushe lingekatika??mfyuuu! Mwambie mkeo samahani mke wangu nilichepuka nimeathirika nipo kwe dozi usikilizie maumivu yake! Katubu hukoo!