Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
0713 Ni namba za kianzio cha mtandao wa mawasiliano unaotumiwa na kampuni ya TiGO.naomba kusaidiwa naona watu wanaandika humu jf wengine 24/7 wengine 0713 ; hizi namba zina maana gani ?
M-pm umzingile kisoga.Nimekutogwa
Mkuu hilo dolegumba ulilokamatia mpunga mbona limebondwa? Huo mpunga umeupata kwa sakata gani?richaabra nakutaka please!....cash ipo ya kutosha![emoji116]
Picha za Badoo hizi !Aisee jamani mod hizo ban zenu muwe mnaangalia
Sio mnapiga ban tu bila sababu za msingi
Alafu sio kwa uzuri huu View attachment 433659
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ndio nimerudi hivyoo
Richaabra ndio miee
Mkuu 24/7 maana yake ni masaa ishirini na nne kwa siku saba. 0713 ni namba maarufu zinazotumiwa na mtandao wa TIGO. Mara nyingi wanamaanisha kinyeleonaomba kusaidiwa naoj watu wanaandika humu jf wengine 24/7 wengine 0713 ; hizi namba zina maana gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hilo dolegumba ulilokamatia mpunga mbona limebondwa? Huo mpunga umeupata kwa sakata gani?
Delicious[emoji39]Aisee jamani mod hizo ban zenu muwe mnaangalia
Sio mnapiga ban tu bila sababu za msingi
Alafu sio kwa uzuri huu View attachment 433659
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ndio nimerudi hivyoo
Richaabra ndio miee