Jamani hadi watoto wa kike huwa tunapigwa BAN?

Jamani hadi watoto wa kike huwa tunapigwa BAN?

naomba kusaidiwa naona watu wanaandika humu jf wengine 24/7 wengine 0713 ; hizi namba zina maana gani ?
0713 Ni namba za kianzio cha mtandao wa mawasiliano unaotumiwa na kampuni ya TiGO.
 
naomba kusaidiwa naoj watu wanaandika humu jf wengine 24/7 wengine 0713 ; hizi namba zina maana gani ?
Mkuu 24/7 maana yake ni masaa ishirini na nne kwa siku saba. 0713 ni namba maarufu zinazotumiwa na mtandao wa TIGO. Mara nyingi wanamaanisha kinyeleo
 
Back
Top Bottom